Miss Ilala 2009

FairPlayer unajifagilia tu hauna lolote na huo uwezo wa kuwa na huyu bint hauna unafaidi tu kwa macho kama wanaJf waliomwengi hapa. Jipe moyo labda kuna siku utakuja kamua maziwa.
 
Picture+402.jpg


haki ya Mungu na mtume, hapo nimeweka nanga. hebu cheki pozi na mitego. huyu ni miss TZ-successor
acha utani hilo pozi siyo kabisa inaonekana hujaona mapozi ya ukweli
 
kashinda halafu huyu mtoto pamoja na kujikanganya kidogo kwenye kujibu pale,ila hata wangenipa mimi nafasi ya kuchagua angeshinda...actually naona anafaa kurithi u'miss tz wenyewe..booonge la mtoto!

sijaona. una maana shally kashinda?
 
Duuu! Naona Macho ya wengi yamemuona Mdada Sylvia Frank Shally....Usiku wa kuamkia leo amechaguliwa kuwa Miss Ilala 2009 na Miss Issa Michuzi Photogenic 2009 na amejinyakulia kitita cha Tshs 500,000/= Kila la Kheri Miss Ilala katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania.

wakuu naona utabiri wangu unaelekea kuwa kweli. toto limetulia ila hatujajua ya ndani
 
hivi hakuna memba wa jamiiforum hata mmoha kati yao kweli
 
Back
Top Bottom