Miss IFM 2009

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Miss IFm jamani ndio kesho.....lakini nashangaa washiriki hawajatua sana...najua IFM kuna vitu vikali lakini hizi sura kama za Ardhi university...
attachment.php

kuna kitu nilikiona sehemu somebody yassin toto funika bovu angependezesha jukwaa kesho...
picture na michuzi
 
Attachments

  • arrg.JPG
    arrg.JPG
    19.4 KB · Views: 335
He he..Institute of Female Management Oops! nahisi nimekosea..

Haya baada ya umiss?wasome wadogo zangu
 
Choka mbaya hawa...hawajatulia hata kidogo. Ngoja nitafuta AKA niwaweke side by side na hawa halafu tuone
 
wow so IFM siku hizi Hakuna kusoma tena bali ni kuonyeshana miili yao?....

Mmh belindaJ!....I guess siku Institute of finance management imekuwa institute of female modeling...duuh!.....
 
IFM kuna totozi nawaonaga kwa mbaali nikipita pita.....
 
wow so IFM siku hizi Hakuna kusoma tena bali ni kuonyeshana miili yao?....

Mmh belindaJ!....I guess siku Institute of finance management imekuwa institute of female modeling...duuh!.....
mashindano ya umiss yapo kila chuo kwa sasa......ila nilicho mind mie ni hawa washiriki hawajatuakuna kifaa sombody yassin ilibidi kiwepo hapo....
 
wow so IFM siku hizi Hakuna kusoma tena bali ni kuonyeshana miili yao?....

Mmh belindaJ!....I guess siku Institute of finance management imekuwa institute of female modeling...duuh!.....

Kelly we acha tu, naona ni mchanganyiko wa vyote (kazi na dawa)!
Elimu ya siku hizi raha na starehe pembeni,ushindwe wewe tu. Pia kuna vyuo vingine wanafanya mashindano hayo.
 
huyu Yo yo anasema mambo ya umiss yapo kila shule mbona sijaona huku state mambo kama hayo unless miye nimesoma shule ambazo hazijui starehe za hivyo.....

tatizo bongo huko wao shule ndiyo sehemu ya ngono...IFM ya sasa hivi i guess siyo kama ya enzi zile BelindaJ!.....You knwo what i am saying?.ndiyo maana kulikuwa na minimal discontinue....
 
Umesoma wapi wewe? Hakukuwa na homecoming king na queen huko ulikosoma?
 
huyu Yo yo anasema mambo ya umiss yapo kila shule mbona sijaona huku state mambo kama hayo unless miye nimesoma shule ambazo hazijui starehe za hivyo.....

tatizo bongo huko wao shule ndiyo sehemu ya ngono...IFM ya sasa hivi i guess siyo kama ya enzi zile BelindaJ!.....You knwo what i am saying?.ndiyo maana kulikuwa na minimal discontinue....

Labda vyuo kadhaa vya Tz kama UD na Saut na IFM sasa imeingia.
Kelly mambo yamebadilika, IFM ya wakati ule siyo kama ya sasa kuanzia elimu yenyewe mpaka mambo kadhaa ambayo tunayasikia yakitoke na kuzidi kwa kasi.
 
wewe umesoma IFM ipi wewe? kozi gani......
 
Labda vyuo kadhaa vya Tz kama UD na Saut na IFM sasa imeingia.
Kelly mambo yamebadilika, IFM ya wakati ule siyo kama ya sasa kuanzia elimu yenyewe mpaka mambo kadhaa ambayo tunayasikia yakitoke na kuzidi kwa kasi.
aah nyie bana mmesoma lini? miaka ya 80? IFM iko vile vile haijabadilika kitu zaidi ya majengo kupigwa rangi mpya.....
 
Labda vyuo kadhaa vya Tz kama UD na Saut na IFM sasa imeingia.
Kelly mambo yamebadilika, IFM ya wakati ule siyo kama ya sasa kuanzia elimu yenyewe mpaka mambo kadhaa ambayo tunayasikia yakitoke na kuzidi kwa kasi.

Ni kweli BelindsJ IFM ya zamani ilikuwa miadili sana...huoni watu kutembea nusu uchi....na tulikuwa pale kwa lengo moja tuu nalo ni kusoma.....

yo yo see ndiyo maana tunatifautiaana kimaadili...hata kama miye na belinda tumesoma miaka ya 80 lakini tuna more moral and value comapared to now..huwezi kunifanya nitembee na bikini miye and then what?
 
Du?? wee Kelly ina maana umesukuma age kiasi hiki? 80s ulikuwa IFM wakati mtu mzima kama mimi nilikuwa msingi? Ntaanza kukupa shikamoo humu and dont be suprised 'shares' zako zikipungua value ghafla humu! LOL.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom