Misri, Tunisia ilikuwa njaa kali Je! Hili la Libya limekaaje?

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Vugu vugu la kuwang'oa viongozi katika Misri na Tunisia kulitokana na sababu lukuki lakini moja wapo ilikuwa njaa kali.Tumekua tukichangiahumu na kuisifia Libya kuwa watu wake wanamaisha mazuri.Kipindi kimoja kilirushwa ITV kikielezea the beau
ty of LIbya huku ikilinganishwa na Tanzania tulivyo hoi.Je maandamano tena ya walibya kumuondoa Kanal Muamar Gadaffi tuseme nini?Source:TBC News saa 2usiku.
 
[SIZE=+2]TO TYRANTS OF THE WORLD

[/SIZE]By Tunisian Poet Abul Qasem El-Chebbi (1909 - 1934)

Hey you, the ruthless tyrants...
You lovers of darkness...
You the enemies of life...
You've made fun of innocent people's wounds; and your palm is covered with their blood
You deforming the value of existence and sowed seeds of sadness in their land

Wait, don't let the spring, the clearness of the sky and the shine of the morning light fool you...
Because the darkness, the thunder rumble and the blowing of the wind are coming toward you from the horizon
Beware because underneath the ash there is fire

Who grows thorns will reap wounds
The river of blood you shed will sweep you away and you will be burned by the fiery storm.

(The Original Version)
poem.jpg

SOURCE: UNITED NATIONS. TO TYRANTS OF THE WORLD.

UJUMBE HUMU:

Ni ajabu na kweli kwamba kumbe yale yote yaliotokea Tunisia kupindua serikali dhalimu ya aliyekua Rais Ben Ali na kisha nguvu za virutubisho vya 'Matunda na Mboga Mboga' Shujaa Machinga Mohamed Bouazizi kuvuka mipaka yote YALISHATABIRIWA MNAMO MWAKA WA 1934 KUTOKEA.

Mtunga mashairi mzaliwa wa nchini Tunisian, Ndg Abul Qasem El-Chebbi (1909 - 1934), aliyaona kwa macho yake udhalimu na ufisadi ukitendeka nchini mwake hata akaamua kuyaweka katika kumbukumbu za kimaandishi kama tulivyoyaona hapo juu.

Baada ya takriban miaka 76 yale maoni yake yakaondoka kwenye karatasi; yakaenda mitaani na kugeuka moto mkubwa usiozimika uliotimulia mbali madikteta 2 hadi sasa na kuendelea kushika kasi!!! Mmachinga Mohamed Bouazizi ndiye silaha ya maangamizi iliokamilisha utabiri mzima!!!


sidi‑bouzid‑12.jpg

200 × 200 - Mohammed Bouazizi's (and Tunisia's) agony.




6a00d8341c60bf53ef0133f5f3acc6970b‑500wi

... Tunisian Mohamed Bouazizi, whose immolation, December 17, launched the ...
xomba.com

Similar ‑ More sizes




self‑immolation.jpg

240 × 196 - In the case of Mohammed Bouazizi, the youth from Sidi Bouzid in Tunisia, ...
jonathanfryer.wordpress.com





12626.jpg

450 × 338 - Mohamed Bouazizi's fruit cart pushes over Ben Ali's throne
israelagainstterror.blogspot.com




b2f9473a7b98b167c7130b26111d028b.gif

... the Tunisian revolution began in with the suicide of Mohammed Bouazizi ...
rozhlas.cz​
Laiti watawa huwa huchukua japo dakika 30 tu kujisomea kila siku, badala ya kuendelea mfululizo kusikiliza maoni ya wanafiki, naamini wangeweza kuona shairi hili na kuzingatia zaidi onyo kali kwenye mistari ya 7 na ya 10 ili zahama yasiwakute kama ambavyo tunaendelea bado kushudia hivi leo.

Enyi watawala: kuleni kidogo kwa afya njema na wala msizidishe kipimo chenu. Kila mmoja wetu katika jamii ANAYO UMUHIMU WAKE na wala asidharauliwe kitu.
 
Back
Top Bottom