Misingi ya katiba ya JMT ya 1977

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Jamani mimi sioni kifungu kinachompa JK mamlaka ya kuunda tume ya kuandika katiba mpya. Ila kwenye misingi ya katiba ya JMT ya 1977 inasema 'Katiba inatungwa na Bunge maalum la jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa niaba ya wananchi..' Sasa inakuwaje tume iundwe na Rais na badala ya Bunge? Hivi tume ya kuandika katiba ni sawa na tume ya madini? Au kuchunguza mauaji ya wafanyabiashara wa madini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom