Misingi ya CHADEMA

Malova

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
784
228
Hivi karibuni kumekuwa na vunjavunja/bomoabomoa ya misingi/matawi ya CHADEMA sehemu mbalimbali (e.g Sinza, Manzese, UbungoTerminal, etc).CHADEMA tumekuwa tukifanya upelelezi na vilevile kuchukua RB polisi ili kudeal na hawa jamaa zetu. Lakini tunaona hawashughulikiwi kipolisi na wanazidi kuharibu misingi/matawi yetu ambayo yanaruhusiwa kuwepo kisheria. Sasa uvumilivu umefika mwisho tunachukua sheria mkononi. Maana jamaa zetu hawa ustaarabu umewashinda. Wameanza kunya, sisi tutakunya mara tatu yao hata kama watatuambia tumeharisha poa.
 
naunga mkono hoja hata vibaka wanauawa sababu sheria hazikuchukua mkondo watu wakaamua kuchukua sgeria mkononi,msipopambana nani atawapambania.
 
Tunatangaza vita dhidi ya wale wote wanaovunja misingi yetu
 
Back
Top Bottom