Mishipa imevimba. Msaada jamani.

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Niliwekewa drip takriban wiki sasa.Cha ajabu kuanzia nyuma ya mkono mpaka juu ya mkono mshipa wote umekuwa mgumu sanaaa,pia unauma.MSAADA Please!
 
Waliokuwekea umewaambia hilo tatizo..............Pia jaribu kwenda hospitali kubwa kaonane na madaktari wazoefu.
 
Waliokuwekea umewaambia hilo tatizo..............Pia jaribu kwenda hospitali kubwa kaonane na madaktari wazoefu.

siku hiz yupo wa kumlalamikia?ni wakali wakal tu.Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom