Mishikaki kwa MFOJO

Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.
Jamani wenye ushuhuda na utamu wa mishikaki hiyo atuelekeze huyo Mfojo anapatikana Tabata ipi ili nasisi wengine tukaionje this weekend
Nipo hapa tabata chama, mbona sioni hio foleni..au jina lilisha kufa?
 
"Chupa nyingine bwana chupa nyingine bwana hii imeisha......
Kama hutaki bwana nenda kwa mfojo yule fundi wa kuchoma nyama ..
Sema aku bu sema kuburudishe
Sema aku to#@#@% mpaka usiku wa manane!"
 
Back
Top Bottom