Mishakaki ya Paka

lakini kwakuwa hakuna aliyedhulika miaka yote hiyo basi acha tule tuuuuuuuuuuu nyama yenyewe buchani haishikiki siku hizi.......:washing:
 
Is this true??????????????????????? Or my lord!!! Ni mburahati ipi maana kuna kipindi nilikuwa naenda kwa mshkaji wangu anakaa mburahati bondeni. Ikawa tunatoka na kwenda kula mishkaki maeneo ya kijiweni.....ni wapi huyu jamaa alikuwa???
 
Nakumbuka kuna jamaa flani kibaha alikuwa anauza mahindi.
kuna siku mbwa aligongwa na gari akafa, ghafla jioni yake yule bwana akabadili biashara badala ya kuuza mahindi akauza mishikaki.
Wananchi hawakumwelewa.

duuu!!jamaa mbunifu sana,nahisi akingongwa mtu basi wawe makini sana!!!!!!!!!!!
 
me najiuliza jinsi anavyowakamata hao paka. maana paka ni species ya chui ile,akicharuka ni balaa. mnatuchanganya sana watanzania siku hizi. mara loliondo,mara paka,mara nini sijui! aaaaaaaaagh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huwezi kufananisha hivyo vitu viwili
yule ni mwongo kwa sababu aliulizwa familia yako inajua kwamba unafanya shuguli hizo ie unachinja na kupika mishkaki ya paka akasema ndio.. nasomesha watoto wanne shule kwa kazi hiyo

akaulizwa; je wewe na familia yako mnakula hiyo nyama... akazunguka mwisho akasema hapana, hata hawajui kwamba nafanya kazi hiyo....
why contradict yourself???

mtu wa wapi eti mpogolo ukimsikiklliza anaonekana mmakonde

Umeona eeh, hata mie nilimtilia mashaka hapo... Eti hata Mke wake hajui wakati mara ya kwanza alisema wanajua. Pia ana accent ya Kimakonde kabisa... Mi nahisi kwanza hata kichwa yake haiko bara bara...!
 
Is this true??????????????????????? Or my lord!!! Ni mburahati ipi maana kuna kipindi nilikuwa naenda kwa mshkaji wangu anakaa mburahati bondeni. Ikawa tunatoka na kwenda kula mishkaki maeneo ya kijiweni.....ni wapi huyu jamaa alikuwa???

Hakusema ni Mburahati wapi cuz hata jina lake hakusema ila unalo. Huwezi kukumbuka kidogo ukivuta hisia hiyo mishkaki ina taste aje...lol
 
Yaani kanikata stimu siku nzima... Nilikuwa na hamu ya chips mishakaki imebidi nibadili menu, kudadadeki...!
 
Is this true??????????????????????? Or my lord!!! Ni mburahati ipi maana kuna kipindi nilikuwa naenda kwa mshkaji wangu anakaa mburahati bondeni. Ikawa tunatoka na kwenda kula mishkaki maeneo ya kijiweni.....ni wapi huyu jamaa alikuwa???

kwani ulikula ile wanayo uza fifte fifte? kama ni hiyo, basi umshakula nyama ya paka broda.
 
Nimemsikia asubuhi akiwa anahijiwa na Bonge. jamaa anajinasibu kabisa kuwa anauza kwa siku paka wanne na anapata kati ya sh 25,000 mpaka 35000 kwa siku.

Lakini mwenyewe aonji na wala mke na watoto wake hawali
 
lakini kwakuwa hakuna aliyedhulika miaka yote hiyo basi acha tule tuuuuuuuuuuu nyama yenyewe buchani haishikiki siku hizi.......:washing:

nadhani jamaa kaja na utafiti unaoongeza wigo wa vitoweo, hapo inasikitisha watu wanamlaani badala ya kumshukuru..kesho nahamia mitaa ya muhimbili nikamate ile mipaka mibonge.
 
si ndo hapo mara nawakusanya kama hawajatimia wanne nasubiria siku ya pili mara ndo kazi yangu hyo nayosomeshea watoto
huwezi kufananisha hivyo vitu viwili
yule ni mwongo kwa sababu aliulizwa familia yako inajua kwamba unafanya shuguli hizo ie unachinja na kupika mishkaki ya paka akasema ndio.. nasomesha watoto wanne shule kwa kazi hiyo

akaulizwa; je wewe na familia yako mnakula hiyo nyama... akazunguka mwisho akasema hapana, hata hawajui kwamba nafanya kazi hiyo....
why contradict yourself???

mtu wa wapi eti mpogolo ukimsikiklliza anaonekana mmakonde
 
:angry:Inasikitisha sana lakini lazima tujiulize wendawazimu wa huyo jamaa umeanzia wapi? Hapana shaka ugumu wa maisha umechangia kwa kiasi kikubwa kwa huyo jamaa na ukizingatia serikali kutokujali kutengeneza fursa nyingi za za ajira na kubaki kupiga porojo majukwaani na kuwalinda mafisadi tu! Kilichobaki tutasikia mishikaki ya Bin Adam.Tumekwisha!
Mlio sikiliza power breakfast Leo najua Mmeipata vizuri.
Jamaa mburahati kauza mishkak ya paka for the last four years!
Amekiri kwa siku anauza paka wanne na kuendelea.
Hivi huyu jamaa hawezi chukuliwa hatua zozote za kisheria?
Jamni hii inasikitisha!!
 
ndugu pole sana labda huyo n 1 wa 100 wanaouza hizo bidhaa..kama umekula nyama za afrikasana pale sinza pole sana sana sana na nakushauri ukimbilie kwa babu kama bado aijafukuta sumu yake
wabongo tuna uchu sana wa nyama ndo maana tunalishwa vitu vya ajabu.
 
kwa wale wasafiri wa iringa na Mbeya acheni kula nyama pale Ilula ni za mbwa,paka na pia kunguru,Kuleni ndani ya hotel na sii nje pale.poleni
 
Hakusema ni Mburahati wapi cuz hata jina lake hakusema ila unalo. Huwezi kukumbuka kidogo ukivuta hisia hiyo mishkaki ina taste aje...lol

mkare kuwa makini sana,jamaa akiona avatar yako hiyo,ataanza kukuwinda ili uwe kitoweo cha pasaka kwa wateja wake!!!
 
Hiko kipindi cha power breakfast ni cha clouds hii hii ambayo members wengi husema hawaisikilizi au kuna clouds ya mishkaki ya paka na clouds ya kibonde?
 
jamaa huyu ni mbunifu, nenda DRC wanakula nyama ya paka hadharani tu, kwani kuna aliyedhurika, watanzania tuache kudeka kwenye vyakula, ajaribu na vyura watakula tu
 
kuna watu wanastahili kufungwa maisha.
watanzania tuwe makini na nyama kama hizi.ni bora ukanunua nyama buchani ukaenda choma nyumbani
 
jamaa huyu ni mbunifu, nenda DRC wanakula nyama ya paka hadharani tu, kwani kuna aliyedhurika, watanzania tuache kudeka kwenye vyakula, ajaribu na vyura watakula tu
Mwisho mtakula vinyesi na kudai havidhuru!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom