Mishakaki ya Paka

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Mlio sikiliza power breakfast Leo najua Mmeipata vizuri.
Jamaa mburahati kauza mishkak ya paka for the last four years!
Amekiri kwa siku anauza paka wanne na kuendelea.
Hivi huyu jamaa hawezi chukuliwa hatua zozote za kisheria?
Jamni hii inasikitisha!!
 
Kwani ameweka kizizi cha paka? Unajua kazi ilivyongumu kumkamata paka? Tena wanne kwa siku..hio nimekataa.
 
jamani, dunia inakoelekea ni kubaya,,,,huyu jamaa achukuliwe hatua kali sana za kisheria,,,, anacheza na maisha ya watu, na imani zao pia,,, this is very dangerous
 
its true kabisa nimemsikia mwenyewe anhojiwa na wakati anawauwa anawaweka kwenye gunia na anawafunga miguu yote na kuwa waya anawapiga nao, ila yeye hali wala familia yake yeye na mkewe na watoto wanne hawajui na hapeleki hata nyumbani hiyo mishikaki ma anaingiza 25,000 to 30000 Tshs per day, imagine!
na anasema mapaka wazuri ni wa upanga they weigh up t0 6kg na wengine anawatoa manzese.
 
Kwani ameweka kizizi cha paka? Unajua kazi ilivyongumu kumkamata paka? Tena wanne kwa siku..hio nimekataa.

ndugu jamaa katoa maelezo anavyomkamata huyu paka. Akipata wawili ana carry foward mpaka siku inayofuatia ndio anatengeneza hiyo mikshkaki.
 
Huyu jamaa ni hatari ila kwa kuwa kiingiacho si najisi bali kitokacho haina taabu sana katika hilo,kuna vyakula vingi tunakula bila kujua ni vya wanyama gani na vinatoka wapi hivyo kama watu wanakula huku hawajui na haiwadhuru sioni kama kuna tatizo katika hilo.
 
mbona waasia wanakula kila kitu? sisi bado tunachagua.

kwa wauza mishikaki wa bara asia unaelezwa kabisa kuwa hii ni ya paka, hii mbwa, hii mbuzi , hii kuku, hii punda, hii pweza nk, unachagua mwenyewe
 
Kama waliokula hawakupata madhara hakuna tatizo aendelee na biznez yake tu
 
nimemsikia akihojiwa leo na ameelezea vizuri namna anavyowapata hao paka
nadhani c vizuri kumlisha mtu kitu bila kuelezea ni nini unampa kwani masuala ya kiimani yanatofautiana
 
Ye ye ye ye ye ye!!!!! Duuuuuhhhhhh! Kumbe ndio maana paka wa watu huwa wanapotea tu maskini kumbe kuna biashara???? Kasheshe wala mishkaki.
 
Nguruwe mnakula, Mbwa iringa watu wanakula, nyoka watu wanakula, panya watu mnagonga haya na Paka kuleni tu simnasema haramu ni kinachorudi?

Mwisho: Its true hiyo taarifa imewaharibia sana wauza mishikaki, itawapotezea mauzo ile mbaya. Imekuwa kama isue ya Manyoya iliwafanya ombaomba wapate tabu sana.
Mamlaka zinazohusika tunaomba zifanye kazi yake kumshughulikia huyu jamaa kwani wengine imani zetu zinatambua kuwepo kwa vitu haramu.
 
mlio sikiliza power breakfast leo najua mmeipata vizuri.
Jamaa mburahati kauza mishkak ya paka for the last four years!
Amekiri kwa siku anauza paka wanne na kuendelea.
Hivi huyu jamaa hawezi chukuliwa hatua zozote za kisheria?
Jamni hii inasikitisha!!

ndugu pole sana labda huyo n 1 wa 100 wanaouza hizo bidhaa..kama umekula nyama za afrikasana pale sinza pole sana sana sana na nakushauri ukimbilie kwa babu kama bado aijafukuta sumu yake
 
Cha msingi nadhani ni je anawaambia wateja wake kuwa ni mishikaki ya paka kabla hawajanunua? Kama hilo lipo wazi kwa mteja na kwa utashi wao wananunua na kula then sion tatizo kwa muuzaji.

Nyama, nyama, nyama!....Nyama!
Ya paka?...
 
kwa wale mnaokula nyama pale mombo on your way to Moshi mnalo pia.
 
nimemsikia hajaniconvince...
huyo anataka airtime tu.... eti namwita nyau nyau wanakuja kisha nawafunga mikono na miguu... nawakanyaga tumboni na kuwachinja... jamani paka ni jamii ya chui na simba... akisense hatari habari yake utaiona... huyo jamaa hana lolote, hao hawako serious
 
hv radha ya nyama ya paka na mbuzi ni sawa??yaani habari hizi zimenishtua sana
Mlio sikiliza power breakfast Leo najua Mmeipata vizuri.
Jamaa mburahati kauza mishkak ya paka for the last four years!
Amekiri kwa siku anauza paka wanne na kuendelea.
Hivi huyu jamaa hawezi chukuliwa hatua zozote za kisheria?
Jamni hii inasikitisha!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom