CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,923
lengo la Uzi huu natamani kujua malipo ya walimu wenzetu hususani majirani zetu maana kabla hujadai mshahara mkubwa ni vema kujua mwenzako analipwaje najua kuna wakenya , waganda na warwanda wengi humu jf naomba mtujuze huko kwenu vipi..maana naona wageni wamejaa kwenye shule nyingi hapa bongo
karibuni
karibuni