Mishahara ya walimu juu

Waraka upo umetoka TAMISEMI na haujatoka utumishi.
Tayari Ma_afisa utumishi wameagizwa kuwapanga walimu katika muundo wa utumishi huo na madaraja hayo. Na kisha watume taarifa hizo ziwafikie utumishi makao makuu kabla ya july mosi.
Na pia katika waraka wametofautisha japo ni kwa kiwango kidogo level ya mishahara kwa walimu wa masomo ya Science na hesabu na kwa walimu wa masomo ya sanaa
 
Soma hii ....
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1372673521101.jpg
    uploadfromtaptalk1372673521101.jpg
    65.1 KB · Views: 403
hata mm nimesikia ila mshahara wa sasa haukidhi matakwa waongeze kweli, nasikia serikali ilikaa na unesco, baada ya matokeo ya f4 , wenzetu waliwacheka sana maan mshahara wa Mwl hautoshi hata kwa wiki moja mtu kuishi , ndo serikali ikaulizwa kwa mshahara HUU mlitaka walimu wafundishe kweli, wakajaribu kuangalia international standard , mishahara yetu ilikuwa vituko
 
Jipen moyo, kwa serkal hii czan!! ni mara ngap tumehadaika? Jib ni mwsho wa mwez tu, nyngne zote ni porojo tu!!!!!!!!!
 
Muongozewe mishahara kwa kazi gani munayoifanya? Acheni zenu ninyi kazi yenu kuzalisha zero tu mukijitahidi div three zisizobalance,tena bora mupunguziwe hamuna tofauti na Policcm
 
Spleen jaribu kufikiria kwa kina kabla ya kupost ona sasa umepost nini hapo?unakera kama nini na hii inaonesha jinsi ulivyo mlemavu wa tafakuri.
 
Muongozewe mishahara kwa kazi gani munayoifanya? Acheni zenu ninyi kazi yenu kuzalisha zero tu mukijitahidi div three zisizobalance,tena bora mupunguziwe hamuna tofauti na Policcm
WEWE NI TAAHIRA WA FIKRA SIYO BURE,Una umri mkubwa na manyoya sehem zote za mwili lakn una akiri sawa na mtoto mwenye miaka 5,mpaka hapo umeandka huo upuuz wako kwa kufundshwa na mwalimu kutambua herufi.KAMA ULIPATA ZERO SHULE NDO UJINGA WAKO UNAOUENDELEZA MPAKA LEO NA MAISHA KWA ROHO YAKO MBAYA ANGALIA MJINI UTAPAKATWA!!
 
Hilo ----- linalo dhalau walimu na kuwaita policeccm litakua lilikula division 0 tena ya point 37 hilo.
----- linalo jiita SLEEN.
 
Muongozewe mishahara kwa kazi gani munayoifanya? Acheni zenu ninyi kazi yenu kuzalisha zero tu mukijitahidi div three zisizobalance,tena bora mupunguziwe hamuna tofauti na Policcm

daa ulipata ziro daa pole sana kijana!
Je unjaua kwa nini ulipata Ziro?
Jibu rahisi sana! Ni kwamba ulikua unadharau walimu
------- yani -------- tenaaaa

Mods hebu mpeni ban huyu mjinga akasome!
 
acha ubabaishaji usio na ukweli hivi huo mshahara nani anaulipa make kikwete alisema kima cha chini ni 115000 kama walimu hawawezi mshahara huo waache kazi
 
daa ulipata ziro daa pole sana kijana!
Je unjaua kwa nini ulipata Ziro?
Jibu rahisi sana! Ni kwamba ulikua unadharau walimu
------- yani -------- tenaaaa

Mods hebu mpeni ban huyu mjinga akasome!

nani kakwambia nilipata zero subiri kwanza nikuinbox kukuonesha link ya matokeo yangu,mi najua ukweli mchungu lakini kiukweli walimi government hawapigi kazi
 
WEWE NI TAAHIRA WA FIKRA SIYO BURE,Una umri mkubwa na manyoya sehem zote za mwili lakn una akiri sawa na mtoto mwenye miaka 5,mpaka hapo umeandka huo upuuz wako kwa kufundshwa na mwalimu kutambua herufi.KAMA ULIPATA ZERO SHULE NDO UJINGA WAKO UNAOUENDELEZA MPAKA LEO NA MAISHA KWA ROHO YAKO MBAYA ANGALIA MJINI UTAPAKATWA!!

ACHA UMBULULA WEWE SIJAFUNDISHWA NA MWALIMU ANAYEDAI MSHAHARA UONGEZEKE HATA LEVEL MOJA YA ELIMU SINCE VIDUDU,nani apakatwe kama siyo wewe mwalimu unayelialia humu JF SHAME OF YOU,kwa kazi gani unayoifanya uongezewe mshahara?
 
Back
Top Bottom