Mishahara ya wafanyakazi wa serikali iko wapi mwezi huu?

Jamani bajeti ya wizara ya fedha imepita lini? mishahara serikalini haiwezi kulipwa kabla bajeti ya wizara hiyo haijapitishwa na mara nyingi wizara hii inakuwa ya mwisho mwisho
 
Jamani bajeti ya wizara ya fedha imepita lini? mishahara serikalini haiwezi kulipwa kabla bajeti ya wizara hiyo haijapitishwa na mara nyingi wizara hii inakuwa ya mwisho mwisho
Pengine si mfanyakazi wa Serikali. Mwaka jana na nyuma kote Bunge likikuwa likiishia mwisho wa mwezi wa nane na watu wakilipwa mishahara kabla ya kusomwa kwa bajeti ya wizara ya Fedha.
 
Tunacho hoji ni kwamba inakuwaje maagiza ya Rais yanakiukwa bila hata wafanyakazi husika kupewa taarifa yeyote?Itakumbukwa kwamba Rais alishaagiza ifikapo tarehe 23 ya kila mwezi wafanyakazi wawe wameshapata mishahara yao.Akaongeza kwamba kama itakuwa lazima kucheweshewa mishahara yao,basi isizidi tarehe 25 ya kila mwezi.

Kwa nini mpaka Rais aseme au atume Vi-memo? Sheria iko wapi ya kuhakikisha utekelezaji unafuatwa?

Haya mambo ya SMS na Vi-memo ndio yanafanya kazi inakuwa ngumu ya kuwafikisha mahakamani hawa mafisadi.

Hii sio favor kutoka kwa viongozi, ni HAKI YETU.
 
Back
Top Bottom