Mishahara Ya Wabunge Wa Kenya

Hawa jamaa kuna namna hapo. Isije ikawa kuna pesa za wafadhili hapo.

Kenya ni Nchi masikini sana ikilinganishwa na USA. Iweje walipwe zaidi ya USA Senator?

Nadhani wana Wabunge kama 207 au zaidi ina maana in 5 years watalipwa karibu USD 250 Millions.

Sijui ni lini viongozi wetu wa Africa wataacha kuangalia maslahi yao binafsi wakati wananchi wao wanakufa kwa njaa, kukosa matibabu, elimu duni nk.
 
1.2 million Kenyan shillings per month for 222 MPs is around 3.2 billion Kenya shillings per year. With a national budget of 600 billion shillings thats like 0.005% of the budget. unafikiri sisi ni maskini kama nyinyi? Yea watu north eastern wanakufa njaa but in Trans Nzoia wakulima bado wana mamilioni ya magunia ya mahindi wanangoja bei ipande.
 
I'm not sure if you're mocking us "poor" Tanzanians or just being sarcastic. Anyway, the issue is not about comparative wealth but about rationality and the show of good and caring governance. Neither Kenyan nor Tanzanian leaders have adequately reflected those virtues in their relation to their citizenry when it comes to utilisation of public resources. All you see is irrational self-centerdness and graft at grand scale.
 
1.2 million Kenyan shillings per month for 222 MPs is around 3.2 billion Kenya shillings per year. With a national budget of 600 billion shillings thats like 0.005% of the budget. unafikiri sisi ni maskini kama nyinyi? Yea watu north eastern wanakufa njaa but in Trans Nzoia wakulima bado wana mamilioni ya magunia ya mahindi wanangoja bei ipande.

No, hamko poor kama sisi bali ni matajiri kuliko USA.

Mwenye akili aambiwi fikiri.
 
1.2 million Kenyan shillings per month for 222 MPs is around 3.2 billion Kenya shillings per year. With a national budget of 600 billion shillings thats like 0.005% of the budget. unafikiri sisi ni maskini kama nyinyi? Yea watu north eastern wanakufa njaa but in Trans Nzoia wakulima bado wana mamilioni ya magunia ya mahindi wanangoja bei ipande.

Kila la kheri with your sarcasm view you think it is fair wakilipwa hizo pesa where is the value for the money?
 
Kwa package kama hizi haishangazi kwamba kila mtu anakimbilia kwenye siasa these days
 
1.2 million Kenyan shillings per month for 222 MPs is around 3.2 billion Kenya shillings per year. With a national budget of 600 billion shillings thats like 0.005% of the budget. unafikiri sisi ni maskini kama nyinyi? Yea watu north eastern wanakufa njaa but in Trans Nzoia wakulima bado wana mamilioni ya magunia ya mahindi wanangoja bei ipande.

I doubt kama wewe ni Mkenya mwenye uchungu na Nchi yako.

Wanaharakati wote wa Kenya they are making noise about this . . . I wonder what is your interest on this.
 
Jesus My Lord, uuuhM!! na hapa bongo ni ngapi, comparison? weee hii inatisha!!! hapo bado hajawa waziri! lakini tubapiga kelele kwa sababu hatujawa na njia ya kuzuaccess au, Je kama kweli ww mwana JF ungekuwa ni ww, ungekataaa, kweli una uzalendo huo? nayakumbuka maneno ya Kardinali Pengo, Kuwa watu tunapiga sana kelele ufisadi, lakini unweza kuta hatujapata nafasi, na huende ss tunaopiga kelele ufisadi tungekuwa hatari zaidi!!

MM naona wapokee lakini asilimia 30 ya fedha hata 50 aiseee ni nyingi, wapeleke kujenga madarasa na kuajiri waaalimu, kuwapa motisha waalimu elimu ipande.... kwa hilo sitaona wivu sana na Kodi yangu

Mtu wangu nakatwa kodi karb laki 2, kila mwezi halafu uggggggHHHHHH!!! waatesea na wa...... wa huko DDM, (some lakini) kama sio kweli mbona wanajaa sana huko ddm wakati wa vikao!!

Mama wee!!
 
I am not surprised with this, its Africa everyone either from ruling party or opposition parties looks after personal interests first
 
Back
Top Bottom