Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Ni Rais wa Bolivia SIO Uruguay.Anaitwa Evo Morales.Huyu amepiga panga mshahara wake ili iingie kwenye miradi ya maendeleo.

Ni Jos? mujica raisi wa Uruguay amekata mshahara wake by 90%(usd12,000 per month) anachangia masikini anabakiwa na usd1,250 Kwa mwez na ana-drive bito anaishi shamba na mke wake. So madugu Mr is right.
 
Hakuna kupunguza mshahara wa rais? Kwani analipwa kiasi gani hadi mpunguze? Yeye ni rais sasa, ana familia na ndugu wengi hiyo itakuwa sio sahihi. Hatuwezi kumpa rais mshahara mdogo na kutegemea afanye kazi zote hizo, lazima alipwe vizuri cha msingi ni kuona haki inatendeka katika jamii.

BTW hivi kwa nini hasa JF inategemea Mods kutoka kwa Manyang'au? Threads nyingine ni za kufuta tu. Hebu rudisheni heshima ya hiki kijiwe kiwe kama alifu.
 
Magufuli akiokoa mabilioni in halali yake apate mshahara Mkubwa, kuliko yule aliyekuwa anapata mshahara Mkubwa halafu aliruhusu ulaji na ufisadi mwingi wa mabilioni ya Fedha!

Kwani kuna MTU aliwahi kushitakiwa kwa ufisadi wa meremeta na ndugu zake epa, Richmond, escrow (mpaka watu wenye dhamana wanadiriki kusema siyo Mali ya umma! tangu lini pesa za binafsi zikatunzwa Benki kuu na zikakaguliwa na mkaguzi MKUU was serikali?) kama siyo kuruhusu ni nini?

Napendekeza itungwe sheria itakayowalazimisha marais wastaafu waeleze Mali zao na jinsi walivyozipata wakati wakiwa madarakani.
Nakumbuka. " Mr Clean" wakati anaingia madarakani alitangaza Mali zake kwa mbwembwe bila shinikizo lakini wakati anatoka madarakani aligoma kutaja Mali zake pamoja na shinikizo la jamii!

Huyu mwingine pia hawezi kutaja Mali zake hata ufanyeje! Hana namna ya kueleza jinsi alivyoipata! Tunaona tu naye amejijengea jamhuri yake inaitwa nini vile ms*g*!!!! Amemwiga mwenzake aliyejijengea jamhuri yake katika wilaya moja iliyoko kwenye mkoa mmoja wa mwambao!! hakutaka hata kurudi kwao!!@]

Ila kama Magufuli naye akatugeuka na kuwaiga wenzake na yeye akajijengea jamhuri ya Ch*t*! watanzania tutakata tamaa sana! Chonde chonde Rais wetu mzuri kutoka kwa Mungu, usitusaliti katika jambo hili! Ni vigumu kujijengea Jamhuri kwa pesa ya mshahara wa urais!!! Ridhika na kipato halali wanachokupa walipa kodi! na hata hivyo kwa nafasi yako, walipa kodi watakutunza mpaka Siku utakapokwenda mbele za haki, kwa nini usiridhike

Tunakuombea kwa Mungu ulishinde pepo la tamaa ya Mali lililowadhalilisha wenzako! Wana Mali lakini hawaheshimiwi kwa dhati! Hata hivyo hawatazikwa na mali! na kwa mujibu wa biblia miaka yetu ni 70 na tukiwa na ngnguvu ni 80!!! Je hiyo miaka iliyobaki wana uwwezo wa kuila Mali yote waliyojilimbikizia?

Kwa nini uhangaike na Mali ambayo kwa hakika huwezi ukaitumia yote ikizingatiwa kwamba taifa bado linakuhudumia?
 
Mwaka jana Mbeki aliongezewa kutoka Rand 1.18 milioni hadi rand 1.27 milioni ingawa Tume ya Moseneke ilipendekezwa alipwe rand 1.89 milioni. Rais Kibaki alikataa nyongeza ya 186% ambayo inasemekana ingemtoa kutoka US$ 10,000 kwa mwezi hadi US$ 27,600 na marupurupu ya US$ 18,600. Sisi wa kwetu analipwa ngapi? Na nani anayeamua kiasi gani anastahili?
Hapo na Mimi sielewi? Ni nani anayepanga mishahara ya hawa watu?
 
Hiyo thread nimeshaiona na nimeshatoa mchango wangu kwa njia ya swali.

Yeye kusema/ kuandika kuwa mshahara wa rais ni shilingi milioni 32 bila kuweka source ya uhakika na ya kuaminika haifanyi mshahara wa rais kuwa shilingi milioni 32.

Hata mimi hapa sasa hivi naweza kusema kuwa 'mshahara wa rais Kikwete ni shilingi milioni 128 kwa mwezi'.

Je, watu wakiona nimeandika hivyo ndo wachukulie hiyo kauli yangu kuwa neno la injili bila kuhoji nilipoitoa hiyo taarifa?

Saying it so doesn't make it so.

Hebu hapo ulipo jaribu ku Google mshahara wa rais wa Marekani, Kenya, Afrika Kusini, au ule wa waziri mkuu wa Uingereza uone hits utakazopata.
Mkuu, hii thread umeianzisha mwaka 2007 mi nikiwa kidato cha kwanza mpaka leo karibia 2016 naelekea kuhitimu masomo ya chuo na bado umeikazania.!! loh...huu ni mfano bora sana kwangu wa namna mtu anakiwa kufuatilia jambo. Hongera na pole kwamba bado hujafanikiwa kufahamu unachokitaka.
 
Achana na mishahara tengeneza pesa kwa kufata link hii jamiiforums.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
 
1444562932514-jpg.297470

Kumlipa rais dola 192,000 ni uendawazimu kwa nchi kama Tanzania, kazi gani anayofanya hadi alipwe hivyo?
 
Hbr wakuu?

Nijuavyo rais wa Tanzania ni kati ya marais wanaopokea mishahara mikibwa Duniani, Sasa naomba Magufuli nae ajitumbue kwa kupunguza mshahara wake.
 
Back
Top Bottom