BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Hali mbaya sana HAZINA..!..tumebakiwa na magamba tu!
Nilishawahi andika humu 'hazina ya serikali imekauka' watu wakanikebehi hapa! Nasahivi serikali haiwezi kufanya jambo mpaka upige kelele.
Mjomba bandiko lako limenisikitisha sana!:embarassed2:
Poleni sana kama hamjashikishwa hadi leo...wakiendelea hadi mwisho wa wiki dawa mgomo tu kama madaktari!
Ina maana we unaishi kwa kutegemea mshahara tu? imeandikwa mtu hataishi kwa mkate tu mkuu!
urbanization rate is too high now days,mpaka mabushman wanaishi mjini!something must be done to curb this problem.jana jioni mwenye dhamana ya mishahara udom, katoa barua ya kusema hajapokea fedha yoyote kutoka hazina kwa hiyo hakuna mshahara mpaka atakapo pata fedha, sio kosa lake kasema ukweli mimi nalia na mkuu wa kaya j.k.
Mbona mnatudhalilisha mjini hapa? Sijui tasisi nyingine za serikali kama wamelipwa ila hapa matangazo yameshatoka kuwa mpunga haujaingia kutoka serikalini.
Tunaishije mjini hapa?spika makinda anna anajua vizuri ugumu wa maisha dodoma ndio maana anakomalia posho,sasa tusiokuwa na posho na tunaishi dodoma miaka yote tunafanyeje?hali mbaya!!!!!!!!
SIo UDOM tu mkuu hata DUCE nako bado hawajacheka
Aisee, hii nchi inafika mahali pabaya sana sasaJana jioni mwenye dhamana ya mishahara udom, katoa barua ya kusema hajapokea fedha yoyote kutoka hazina kwa hiyo hakuna mshahara mpaka atakapo pata fedha, sio kosa lake kasema ukweli mimi nalia na mkuu wa kaya j.k.
Mbona mnatudhalilisha mjini hapa? Sijui tasisi nyingine za serikali kama wamelipwa ila hapa matangazo yameshatoka kuwa mpunga haujaingia kutoka serikalini.
Tunaishije mjini hapa?spika makinda anna anajua vizuri ugumu wa maisha dodoma ndio maana anakomalia posho,sasa tusiokuwa na posho na tunaishi dodoma miaka yote tunafanyeje?hali mbaya!!!!!!!!
urbanization rate is too high now days,mpaka mabushman wanaishi mjini!something must be done to curb this problem.
Me au Ke?
Mjomba bandiko lako limenisikitisha sana!:embarassed2:
Poleni sana kama hamjashikishwa hadi leo...wakiendelea hadi mwisho wa wiki dawa mgomo tu kama madaktari!