wakuu, media tena. Sasa nina nyeti kwamba ukiyaona ya firauni utashangaa ya musa. Mwananchi communications limited nako kuna mambo ya ubaguzi katika mishahara baina ya watanzanyika na wakenia. Utakuta mtu mko idara moja the same job Mkenya milioni 10 mtanzania milioni moja,. Nasikia kuna mkenya mmoja anaitwa. Agunda alikuwa consulting editor kaondoka na mafao ya milioni 120 just three years wakati mzee makunga mtanzania mwnzilishi hatapata hata nusu yake kwa miaka kumi na kitu aliyotumikia pale. Du media zetu taabu kweli kweli. Kuna mkenya ,mwingine tom mosoba aliyeforge vyeti vya kuzaliwa na kujiita mtanzania naye analipwa zaidi hata ya wahariri waandamizi. Another media house to come.....bongoleaks