Mishahara serikalini!!

Mimi ni mwalimu nilifaulu vizuri tu nimegraduate. Wewe siyo Mwalimu ndiyo maana ulifaulu. ungekuwa mwalimu ungefauru. mwalimu gani hata spelling za maneno ya kiswahili zinakushinda? mkilipwa mishahara midogo mnalalamika wakati hata kuuficha umburula wenu mnashindwa?
 
nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti?
Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu?
CHETI
mwalimu 244,400
afya 472,000
kilimo/mifugo 959,400
... sheria 630,000

DIPLOMA
mwalimu 325,700
afya 682,000
kilimo/mifugo 1,133,600
sheria 871,500

DEGREE
mwalimu 469,200
afya 802,200
kilimo na mifugo 1,354,000

Utagundua kwamba aliyesema 'balaa kubwa si kifo bali ni maisha yasiyo na matarjio' yuko sahihi! Walimu hatuna matarajio! change what you see by changing how you see.! Hizi ni dharau tena naweza kuita ni 'ACADEMIC ABUSE'. Tushikamane walimu kuondoa matusi haya
You get for what you pay,may those salaries figures justfied the quality of education but mbaya zaidi hata yao wenye kulipwa mshara mzuri output yao mbaya pengine afadhali output ya walimu sirikali peke yake bali ni letu sote kwani ndo tunaohusika na uzalishaji which is à base of defining the salaries.
 
Back
Top Bottom