Mishahara serikalini?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Kuna tetesi kwamba serikali mpaka sasa haijatoa mishahara ya wafanyakazi wake kwa mwezi ulioisha jana. Je hee inaweza ikawa ina-surpot uvumi kwamba nchi yetu ipo katika hali mbaya sana kifedha kutokana uchaguzi uliopita?
 
Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika
 
Kuna tetesi pia serikali imeenda kuwaomba big tax payers kulipa kodi zao kwa mwaka mzima ili pesa ipatikane kuongoza dola - walipa kodi wametia ngumu sasa ngoma inogile.

Itabidi wachapishe zingine waingize kwenye mzunguko hali ni mbaya.
 
Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika

Hivi mkuu, kwanini usiishie tuu kukubali kwamba hata wewe hujapata mshahara basi.
 
Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika
Wahasibu!?, mtaweweseka sana na bado
 
Kuna tetesi kwamba serikali mpaka sasa haijatoa mishahara ya wafanyakazi wake kwa mwezi ulioisha jana. Je hee inaweza ikawa ina-surpot uvumi kwamba nchi yetu ipo katika hali mbaya sana kifedha kutokana uchaguzi uliopita?

"Serikali haiwezi kukosa hela......inaweza kuprint nyingine/ kama alivyo fanya Mugabe...au ndo wameishiwa wino!!! mku kaenda kuftwa ng'ambo" :)
 
Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika

Yaani watu wamepumbazwa akili mpaka basi!

Tatizo la wahasibu my a$$!
 
Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika

kaka umechanganya madesa..ilipaswa uishie kwenye kumuelimisha tu na siyo kumwambia kwamba yeye siyo muathirika..kwanza how sure you are kama yeye siyo muathirika,pili hata kama yeye siyo mfanyakazi wa serikali haimaanishi kuwa siyo muathirika,anaweza akawa indirectly affaected na hiyo hali kwa njia moja au nyingine.
 
Ni kweli mpaka jana hakuna mtumishi wa serikali ambaye angejiganga amepata mshahara! Ile ahadi kuwa tarehe 25 ya kila mwezi kila mtumishi wa serikali awe amepata mshahara naona inaanza kuwa ndoto!
 
kazi ipo mwaka huu wameshindwa kukusanya kodi na serikali mishahara wanakopa may be wameambiwa mpaka walipe kwanza huko wanakokopa!
Ni kweli mpaka jana hakuna mtumishi wa serikali ambaye angejiganga amepata mshahara! Ile ahadi kuwa tarehe 25 ya kila mwezi kila mtumishi wa serikali awe amepata mshahara naona inaanza kuwa ndoto!
 
kaka umechanganya madesa..ilipaswa uishie kwenye kumuelimisha tu na siyo kumwambia kwamba yeye siyo muathirika..kwanza how sure you are kama yeye siyo muathirika,pili hata kama yeye siyo mfanyakazi wa serikali haimaanishi kuwa siyo muathirika,anaweza akawa indirectly affaected na hiyo hali kwa njia moja au nyingine.

Sibishani na mtu ambaye ndo kwanza yupo hatua ya kujifunza kiingereza, na watu wa hivi mpo wengi sana chadema
 
Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika

mkuu hilo tatizo la wahasibu nchi nzima?Acha kutufanya mazuzu bwana kama wamefulia si waseme tujue cha kufanya.Mi niko kusini huku mpaka leo hakijaeleweka,nimewasiliana na ndugu yangu yuko ulanga(moro),na kwao bado.WEEE Vipi!
 
Nazidi kuthibitisha maana awali zilikuwa ni tetesi tuu
 
Mh. Lowasa yeye anahoja iundwe tume ya kufanya mapitio ya hiyo mishahara isiyolipika ili iongezwe!!!
 
Sibishani na mtu ambaye ndo kwanza yupo hatua ya kujifunza kiingereza, na watu wa hivi mpo wengi sana chadema
ndo maana umeweka avatar ya kushikwa ****** duuuu! hata akili yako ipo hivyohivyo na hiii ndo ccm!
 
Sibishani na mtu ambaye ndo kwanza yupo hatua ya kujifunza kiingereza, na watu wa hivi mpo wengi sana chadema

Chadema imeingiaje hapo? Yaani kujiita Mwana CCM ndo na wewe umekuwa zumbukuku kiasi hicho? Ni wangapi CCM mnaojua kiingereza? Kwa heri!!
 
Na hili JK atajitetea hata mwalimu, mkapa na mwinyi walichelewesha mishahara sembuse mimi
 
Back
Top Bottom