Mishahara mipya ya walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyamlanzi, Apr 16, 2013.

 1. N

  Nyamlanzi Member

  #1
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 16, 2013
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii kwa ànaefaham mishahara iliyoongezwa juzi na serikali aniambie imeongezwa kwa asilimia ngapi?na mshahara wa mwalimu mwenye shahada.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,215
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over
   
 3. N

  Nyamlanzi Member

  #3
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 16, 2013
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  km sio kazi fundisha ww hao wadogo zako.
   
 4. k

  kinakirefu Senior Member

  #4
  Apr 16, 2013
  Joined: Jan 20, 2013
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umedumaa kiakili
   
 5. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2013
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ualimu ni wito wewe, kama sivyo kwa mateso na manyanyaso wanayopata asingebaki mtu.

  Anyway Rais wa kwanza alikuwa mwalimu ila alishindwa kuwawekea msingi mzuri walimu wenzake.
   
 6. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,585
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Acha kutuletea mambo ya siku za wajinga hapa!
   
 7. k

  kinakirefu Senior Member

  #7
  Apr 16, 2013
  Joined: Jan 20, 2013
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakua kaz ya wito, hata ukiwa padri halafu unalala njaa utaacha tu
   
 8. Ngwada

  Ngwada Senior Member

  #8
  Apr 16, 2013
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeona eee. Majitu mengine bwana
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,215
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na hakuna rangi mtaacha ona hapa tanzania,mtakula vumbi la chaki mpaka yesu arudi.wenzenu wahasibu,wachumi na wanasheria wanakula maisha kwenye ofisi zenye full viyoyozi.na hawawazi masuala ya mshahara kama nyie maticha.
   
 10. H

  HOBBIES JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2013
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  ww ni kilaza kama mulugo nyie ndo kazi yenu kuongea 2 wakati mchimba chumvi 2 kwanza nahic nyie ndo wale wa kuchora mazombi kwenye mitihani mtu kama ww huwezi kuwa great thinkers hata siku moja nenda kapige debe na wala usirudi tena humu ndani unless utambue kwamba bila elimu bora hakuna engeneer,lawyer.doctor and many others!
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,215
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kuandika kwenyewe hujui,eti nawe unajiita mwalimu!!
   
 12. k

  kyojo Senior Member

  #12
  Apr 16, 2013
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Perry hili janga la matokeo ww halikugusi hata kidogo ama haujatafakari chanzo cha tatizo? akili yako unaitumia ku.. tu?
   
 13. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 10,992
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
  Mwenzeni anauliza swali lake mwenye jibu ampe maana kumpa majibu yasiyomsaidia si hekima. Mtandao wa JF mara nyingi umesaidia sana watu kupata majibu ya maswali yao.
   
 14. a

  authentic JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2013
  Joined: Mar 18, 2013
  Messages: 637
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Sote tutafunikwa na mchanga
   
 15. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 11,354
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 63
  nakuonea huruma ww na wadogo zako na nakuahidi tegemea another zeros,kama unayoyawaza ndio hayo,pole sana Perry
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 11,354
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 63
  mwalimu wa shahada kwa sasa anaanza na mshahara wa 532,000/=
   
 17. M

  Msingida JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2013
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 2,702
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 48
  We lazima ni Failure (kilaza)
   
 18. Samaritan

  Samaritan JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 4,166
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 83
  Mkuu taratibu, utasababishia watu ban!
   
 19. n

  nuriat Member

  #19
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 28, 2013
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vzur kama hujui jibu la swali la mtu ukakaa kimya kuliko kuropoka ropoka tu ili mradi tujue na wewe upo@perry
   
 20. S

  Shelisheli JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2013
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe mama hili la walimu achana nalo, heri yako wewe na biashara yako isiyo na mtaji, yote hayo ni sababu ya kuchezea elimu! Chezeeni walimu na wito wenu muvune ujinga.
   
 21. john tongo

  john tongo JF-Expert Member

  #21
  Apr 16, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  f**k u
   
 22. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #22
  Apr 17, 2013
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ni 23.5% tu kwa walimu wote..piga mahesab then weka makato uone mwl anavyochezewa akili...
   
 23. M

  MANZI Senior Member

  #23
  Apr 17, 2013
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo 23.5% nani kaitangaza na lini?
   
 24. the horticulturist

  the horticulturist JF-Expert Member

  #24
  Apr 17, 2013
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 18
  Bunge nimeckia leo wakisema ni elfu 20 tu
   
 25. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #25
  Apr 17, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 6,880
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Nakutukana kwa jina la shetani LUCIFER! Awe mshauri wako daima na vizazi vyako vijavyo.
   
 26. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #26
  Apr 17, 2013
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,404
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Mkuu Perry taratibu huo mdomo wako tusije tukakulimboka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 27. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #27
  Apr 17, 2013
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,404
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  sio kilaza tu, Perry analikeji kwenye ubongo mwacheni.ni daktar wa wale ambao wameshikana kupona kwa madaktar wa wengine
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 28. j

  jenereta JF-Expert Member

  #28
  Apr 18, 2013
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Perry, unatafuta umaarufu kwenye JF, sasa tutakuonaje? Ila najua wazazi wako wote ni waalimu. Sifa za kijinga tu
   
 29. m

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #29
  Apr 18, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,139
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  kwan alikuwa ana ngapi
   
 30. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #30
  Apr 18, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,215
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hzo laana zikurudie wewe pamoja na wana ukoo wako wote.
   

Share This Page