Mishahara Mipya kwa Walimu Kuanzia Julai 1 2013

mmh,cjui,yaani digrii ya miaka 3 ya ualimu ngazi yake ya mshahara iwe sawa na madaktari wanaosomea miaka 5,certificate ya ualimu ya mwaka 1 ngazi yake ya mshahara iwe sawa na digrii ya uchumi au uhasibu ya miaka 3,kama ndio hvyo,watakuwa wamependelewa mnoo

sidhani kama kweli ni vigumu xana kwa tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom