TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,886
- 11,282
what did you expect from a politician??nil nil man..i have been tracking the speach frm its begining until its end, but nothing about salaries or wages,than only political idiologies.
what did you expect from a politician??nil nil man..i have been tracking the speach frm its begining until its end, but nothing about salaries or wages,than only political idiologies.
I did not even bother to listen to him.After all there is no subtance in anything he talks and furthermore his government cannot do anything right.Nil nil man..i have been tracking the speach frm its begining until its end, but nothing about salaries or wages,than only political idiologies.
Mi nachojua siku hizi huwa hataji kama kuna nyongeza ila huwa inaongezwa automatically tu, kuepuka waongeza bei bidhaa...maana wakisikia hivyo kila kitu hupandishwa. lets assume that.
Wakuu kupanda kwa mishahara ni ndoto sana, acha kazi tafuta nyingine. Alishasema hamna wafanyakazi wagome vipi hamna hela ya kupandisha mishahara, ipo ya kulipa findia do-once tu
Nilipoweka tbc nikaona JK anaongea niliona bora niangalie movie kuliko kumsikiliza huyu mzee wa kiduku!
crashwise inaelekea kuwa huna kazi ya kufanya au wewe ndio kati ya wale ambao maandamono ndio ajira kwaokwa taarifa yako kipindi cha kampeni alipandha mishahara kwa wafanya kazi wa serikali..jiulize ilipitishwa kwenye budget ipi
crashwise inaelekea kuwa huna kazi ya kufanya au wewe ndio kati ya wale ambao maandamono ndio ajira kwao
Mi nachojua siku hizi huwa hataji kama kuna nyongeza ila huwa inaongezwa automatically tu, kuepuka waongeza bei bidhaa...maana wakisikia hivyo kila kitu hupandishwa. lets assume that.
Ameendelea na propaganda na sidhani kama kuna nehema sana uko july,
cha ajabu leo nimeshtuka tena kuona hotuba yake tofauti na za wawakilishi wengine ya JK haikuwa imeeandaliwa kufuata itifaki..wakati itifaki iliyokuwa ikitumika ilianza kwa kumtaja rais,jaji mkuu,....,iliyosomwa na Kikwete ilianza na Rais wa Tucta,waziri wa kazi,waziri wa utumishi,...kheee,kuona hivi JK akashtuka kidogo,akafoka ,mbona hotuba yangu haijazingatia itifaki kama za wengine?ikabidi aanze upya kwa kumtaja jaji mkuu,.....
Nikajiuliza hii ni kwa bahati mbaya ama ndo ishu zle zle za akina Rweyemamu?? kazi ipo!
Ben,asante sana,nimefuatilia tangu mwanzo mwa hotuba ya rais jakaya,nimegundua mambo matatu muhimu:-
1. Jk bado ana hisia (husasi) za kampeni yaani, campeign mood.
2. Jk amehutubia kwa furaha sana,baada ya kuipata nafasi ya kuwa mgeni rasmi,kwani mwaka jana alinyimwa mwaliko huo,hivyo kujikuta anaishia kuwapongeza watu badala ya kueleza namna atakavyoondoa matatizo na kero za wafanyakazi kwa kuji-commit (hivyo akajikuta akiahidi hewani bila commitment ya lini atayamaliza).
3. Mgaya aliamua kumsifia kwa kuuma na kupuliza,ila jk akapokea kama sifa halisi,hivyo bado hakufanikiwa kuwajaza imani ya aliyoyaongea.
WAFANYAKAZI TUSITEGEMEE MABADILIKO YATAKAYOLETWA KWA HOTUBA ZA KUANDALIWA NA KULETEWA ASOME MAJUKWAANI, KWANI HATA ALIYEIANDAA HAKUWA NA UWEZO WA KUTAMBUA HATA PROTOCOL ZA UTAMBULISHO WA VIONGOZI NA MADARAJA YAKE, JE,ALICHOKIANDIKA KUHUSU WAFANYAKAZI KITAKUWA NA UKWELI GANI?