Mishahara hakuna mpaka leo 31, manisaa ilala

mkuu hapo si mnaenda wenyewe hazina kuchukua (natania) huko si ndo kwa kina masaburi, watu wako bize na dili hata mishahara wanashindwa kulipa!
 
mkuu hapo si mnaenda wenyewe hazina kuchukua (natania) huko si ndo kwa kina masaburi, watu wako bize na dili hata mishahara wanashindwa kulipa!

mkuu yani katika halmashauri zote ilala ni wapuuzi wakubwa, mwezi feb walihakiki watumishi

then mwez mei wakablock mishahara kwa wale ambao hawakuja kuhakikiwa yani hawakuwepo vituoni

cha ajabu mpaka sisi tuliokuwepo vituoni na wametuhakiki mishahara hatukupata mwez mei walitutoa ktk payroll na kama ujuavyo hazina ikilipa then ukakosa huwa hailipi tena kwa mwezi huo mpaka u claim kwa kujaza fomu maalum uwape hadi uje ulipwe ni mwakani labda.
 
READY WAKUU. WAMESHALIPA LEO HII JIONI SAA 12. Atm amecheka.
Ila halmashauri ilala waache upuuzi kuchelewesha fedha mwisho wa mwezi kiserikali ni tar 25.
 
mwezi hauja andamaa mkuu..ukisikia shekhe ponda katangaza mwezi umeoneka...basi kacheki ATM...ila usihofu vumilia kidogo tu miaka 2 sio mingi mkuu...TII KIU YAKO-M4C 2015
 
Wakuu.
Mm ni mtumishi wa umma idara ya elimu. Mpaka leo tar 31 mishahara haijaingia bank.

Inasemekana hela za mishahara wamelipwa watu wa Sensa mana waligoma na serikali haikua na hela.

Hivi hii haki kweli? Kwa nini serikali imeshindwa kulipa mishahara wakati muafaka? iweje mishahara ya watu ifanywe posho za sensa?
Ikumbukwe wilaya ya Kinondoni wamelipwa mishahara tangu tar 24 tena kwa mafungu, temeke wamelipwa jana. Ilala naona wahusika wamekausha tu ila wajue kabisa wasipotoa leo jioni basi jumatatu patachimbika tumechoka na Upuuzi wao.

Kwa kweli navumilia kuwa mtanzania..

Watanzania kwa mikwara tuko fit. Patachimbika!? Kwani ILALA wamevumbua URANIUM ?
 
Wakuu.
Mm ni mtumishi wa umma idara ya elimu. Mpaka leo tar 31 mishahara haijaingia bank.

Inasemekana hela za mishahara wamelipwa watu wa Sensa mana waligoma na serikali haikua na hela.

Hivi hii haki kweli? Kwa nini serikali imeshindwa kulipa mishahara wakati muafaka? iweje mishahara ya watu ifanywe posho za sensa?
Ikumbukwe wilaya ya Kinondoni wamelipwa mishahara tangu tar 24 tena kwa mafungu, temeke wamelipwa jana. Ilala naona wahusika wamekausha tu ila wajue kabisa wasipotoa leo jioni basi jumatatu patachimbika tumechoka na Upuuzi wao.

Kwa kweli navumilia kuwa mtanzania..

Nikwambie Kitu? Hivyo ni Vitisho Hewatu! Hiyo Mishahara yenu mnaweza msipewe hata mpaka tarehe 10 Sept na Hamtafanya lolote zaidi ya Kuja kujificha nyuma ya Kompyuta na Kulalama JF.Watanzania bado hatuna ujasiri wa kutetea haki zetu. Jumatatu akijitiokeza Jasiri mmoja na kuwaambia muandamane hadi kwa wahusika kudai chenu, wee ndio unaweza ukawa wa kwanza kuomba ED! Ndivyo Tulivyo ndio maana hadi leo Mifisadi Inatesa tu Mitaani licha yaKutuibia.

Back
Top Bottom