Mishahara Clouds Radio na Tv

TV wanalipwa vizuri zaidi kuna wakenya wako pale upande wa graphics ila sioni cha ajabu wanachofanya kwenye hizo graphics
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Clouds media group must be doing something right coz if they weren't none of y'all would be talking about them. In the hood they say if they ain't talking about you then you ain't doing nothing.

Peeps can't keep Clouds out of their mouths...whether it's Kibonde....XXL...Power Breakfast....how much money their personalities make....and so on and so forth.

It's always something about Clouds. Hahahaaaaa to me that's a sign Clouds is doing just fine.
 
Jamani JF tusipende sana kuangalia mambo binafsi ya watu. Harafu issue kama ya mshahara wa mtu ukiujua inakusaidia nini. Tubadilike jamani
 
jaman haina haja ya ugonv! Cdhan kama n umbea kutaka kujua mshahara wawatangazaj in general na nadhan n vzur koz huwez may b anataka kujoin au mnataka watu ambao mpaka anafka ofcn kusign ajira hajui mshahara wake! Angetaka kujua mshahara wa kibonde au mchomv personally hapo 2ngemwta mmbea.
 
TV wanalipwa vizuri zaidi kuna wakenya wako pale upande wa graphics ila sioni cha ajabu wanachofanya kwenye hizo graphics

Kwanini Wakenya? Inaonekana sisi Watanzania tumelala. Hata hivyo Wakenya wa Clouds TV wanafanya Graphics bora mara 5 ya Watanzania wa ITV. Angalia kipindi cha Step Up Player cha Clouds, actually wanajijua kuwa wanatuzidi, wanajipigia chapuo ya "StepUp Player, 3D Reloaded."

Wait, just a word, We are coming with "3D Multi-reloaded"! Just a dream.
 
Unaitakia mishahara ya watu kwa nini jamani kama kuna mahali wamekosea basi eleza.
 
swala sio take home bei gani point ya msingi hapa ni utangazaj umetransform vipi maisha yao...
Usirudi na thread ya aina hii tena kijana.

Kwani wewe mshahara wako ni kiasi gani...

Huenda anataka kujoin sehemu kadhaa, hivyo anauliza kuhusu maslahi. Hajauliza mshahara wa mtu binafsi. Hivi kujua mshahara ni dhambi. Mbona kuna threads nyingi humu watu wanajadili mishahara ya walinzi ilivyo midogo na kutaja hata amounts? Ninyi kila kitu kwenu ni nyeti? Mishahara ya Wabunge wetu kila leo inatajwa magazetini na ninyi mnahusika kuchangia mijadala humu JF.... leo imetajwa clouds tena kwa namna nzuri, mnaruka roho. Hizi siasa hizi!!

jaman haina haja ya ugonv! Cdhan kama n umbea kutaka kujua mshahara wawatangazaj in general na nadhan n vzur koz huwez may b anataka kujoin au mnataka watu ambao mpaka anafka ofcn kusign ajira hajui mshahara wake! Angetaka kujua mshahara wa kibonde au mchomv personally hapo 2ngemwta mmbea.

Angeuliza mshahara wa Obama wasingesema kitu. Ushabiki tu!
 
Mishahara ya watu siri na muajiri wao. sasa wewe mishahara ya nini? Anzisha kampuni itisha interview halafu wakija waulize sasa wanapata ngapi hata kama wataongeza itakuwa kama mara mbili hivi!
Lakini mishahara ya watu ya nini? Au unataka kuangalia na maisha wanayoishi? Kama ni hivyo ungeanza kwa wa serikali ambao mishahara kila ngazi inajulikana hala fun linganisha na maisha wanayoishi majibu utayapata na itakuwa bahati kama hujapata "heart attack"
 
porojo wale wauza maneno.sura zimewatoka .waende kwa babu wape kikombe waenza moja. Kuna jamaa ukimsikiliza sauti utafikiri kabiti kumbe libaba .hacheni kubana sauti wazee
 
Sasa nataka kuhitimisha hii thread, tayari ninayo copy ya michango ya wafanyakazi wote wa clouds fm inayopelekwa NSSF, ambayo inaonesha mshahara wa kila mtu.
Naomba ruhusa ya invisible nimalize ubishi niupload document hapa sasa hivi. mijitu imezoea kupeana ujiko usiokuwa na sababu. Invisible nasubili ruhusa yako.
 
gerald wa power brackfast anapata 700000 im sure,lakini wale wawili waliokimbia radio one juzijuzi sijui
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
gerald wa power brackfast anapata 700000 im sure,lakini wale wawili waliokimbia radio one juzijuzi sijui

Kwenye RED ni breakfast, kuhusu mishahara hakuna unalolijuwa, nasubili ruhusa ya Invisible niupload mishahara ya wafanyakazi wote wa hiyo redio. stay tune. kama Gerald ni bwana wako amekupiga fix, utaliwa bupa kwa kuishi kwa matumaini.
 
Kwenye RED ni breakfast, kuhusu mishahara hakuna unalolijuwa, nasubili ruhusa ya Invisible niupload mishahara ya wafanyakazi wote wa hiyo redio. stay tune. kama Gerald ni bwana wako amekupiga fix, utaliwa bupa kwa kuishi kwa matumaini.

wee matola nahisi ni mtu mwenye pupa
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
mshahara si kipimo cha maendeleo ya mtu.....vijana wanatafuta ridhiki iliyo halali je tungependa wawe vibaka!sometimes chuki zisizidi waungwana.....
Sio chuki, ukijua wanalipwaje itakuwezesha kufanya analysis ya nini kinawapa kiburi, nini kinawafanya wawe watu wa kujipendekeza etc. Ila mimi ningependa kujua hata level zao za elimu, hasa kibonde na hando. hando kaniboa sana ijumaa, bahati mbaya nilikuwa nasikia maudhi yake ktk redio ya gari ya jamaa, ningeivunjilia mbali ingekuwa ya gari yangu ambayo nimeiprogram isikamate milele clouds fm
 
Clouds naona wanawarusha sana roho!!

Haipiti siku bila Clouds au watu wake kuanzishiwa thread humu.

Clouds iko juuuuuuuuuu
 
wee matola nahisi ni mtu mwenye pupa

Utaijuwa pupa yangu vizuri nikipata ruhusa ya Invisible, mtakoma kuja na habari za uongo uongo na kufagiliana pasi na sababu. narudia tena ninazo documents za michango ya wafanyakazi wote wa clouds inayopelekwa NSSF na inaonesha kila mtu analipwa shillingi ngapi. hii ndio JF kama ulikuwa huijui.
 
Back
Top Bottom