Misemo ya vyoo vya uswazi huko mombasa

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
1.Unakunjia nani sura,kwani ni mimi
nilikuambia ule magimbi bila chai?

2.Due 2 grenade threats,naomba
ukunye pole
pole.

3.Unafunga mlango unafikiri watu
wataiba
mavi yako?

4.Ungekuwa unang'ang'ana hivyo kwa
masomo kama unavyong'ang'ania kutoa mavi yako,si ungekuwa mbali?

5.Wakati watu wanatafuta pesa,wewe unakunya tu.

6.usikunye kama hujui utakulala nini
badae

7.lenga shimo jamaa halafu na ushute(kijambo) polepole

8.kama tungeweka mirror hapa
ungechukia face expression yako..

9.do you know u r so ugly ukipush" Watu....

Wadau ongezeni misemo hapo ya vyoo vya uswazi....
 
Hiyo number 6 nimeipenda!
 
''kama unavyosikia raha ikiwa inatoka,na ikiwa inaingia raha ni hizohizo''
1.Unakunjia nani sura,kwani ni mimi
nilikuambia ule magimbi bila chai?

2.Due 2 grenade threats,naomba
ukunye pole
pole.

3.Unafunga mlango unafikiri watu
wataiba
mavi yako?

4.Ungekuwa unang'ang'ana hivyo kwa
masomo kama unavyong'ang'ania kutoa mavi yako,si ungekuwa mbali?

5.Wakati watu wanatafuta pesa,wewe unakunya tu.

6.usikunye kama hujui utakulala nini
badae

7.lenga shimo jamaa halafu na ushute(kijambo) polepole

8.kama tungeweka mirror hapa
ungechukia face expression yako..

9.do you know u r so ugly ukipush" Watu....

Wadau ongezeni misemo hapo ya vyoo vya uswazi....
 
Ninasikia kuwa huko ma homo wako wengi sana na inaonekana ni kawaida kabisa hata mitaani.
probably hiyo inawafanya mifano yao mingi iegemee south
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom