Nyamgluu JF-Expert Member Mar 10, 2006 3,160 1,717 Mar 7, 2011 #101 Kumpiga teke chura ni kumuongezea hatua.
Landala JF-Expert Member Dec 24, 2010 997 473 Mar 7, 2011 #103 Vp ww mbona una haraka kama cha kwanza.
Landala JF-Expert Member Dec 24, 2010 997 473 Mar 7, 2011 #104 Ebwana eeh umepotea kama miguu ya nyoka.
Landala JF-Expert Member Dec 24, 2010 997 473 Mar 7, 2011 #105 Ukikubali kuolewa usilale na chupi....!!
M Mdanganyika2 Member Jan 6, 2011 18 1 Mar 8, 2011 #106 "Ukimuona mwanaume anatoka kwenye chumba cha mama yako na amevaa kanga ya mama yako ujue huyo ni baba yako":mullet:
"Ukimuona mwanaume anatoka kwenye chumba cha mama yako na amevaa kanga ya mama yako ujue huyo ni baba yako":mullet:
S Spear_ JF-Expert Member Dec 29, 2010 1,603 486 Mar 8, 2011 #108 Usiteme Big G kwa karanga ya kupewa!!