Misemo ya Mpoki jamani!

Umeambiwa mpoki mkuu

Usikurupukie kujibu watu bila kujuwa grammar. Soma kwanza then njoo uongee. Mwanafunzi wa Mlimani nini wewe? Kwani we umeelewa nini nilivyosema this guy's? Kwamba ni watu wengi ama? Watu wengine bwana, utadhani wasanii wa bongo fleva.
 
Mh grammar? haya mkuu
 
msamehe mkuu tuendelee
 
The true comedian na kama akiondoka yule hamna comed yan... Joti sawa lakini tofauti yao ni kama Mtu anaefaulu kwa akili za kuzaliwa bila kutumia msuli mwingi(mpoki) na msongo anaesoma sana ndo anafaulu bila kukamua kushney(joti)
 
Usikurupukie kujibu watu bila kujuwa grammar. Soma kwanza then njoo uongee. Mwanafunzi wa Mlimani nini wewe? Kwani we umeelewa nini nilivyosema this guy's? Kwamba ni watu wengi ama? Watu wengine bwana, utadhani wasanii wa bongo fleva.

wa mlimani ndo hawajui grammar? Au ndo nyinyi wazee wa hypercorrection! Mind ur blue tongue sir/ma"am!
 
kwa jinsi navokuchukia nikiona simba anakukula namwagia kachumbali kumuongezea hapitite
 
Mtanisamehe, ila I find this guy's humour very lame. Yaani badala ya kucheka huwa I feel sorry for his analogy. Pathetic!

I used to think the same mkuu,in the veeeery long ago when it was him &jyoti on itv..but lately I av learnt that mpoki is ooone crayzie moron..ha ha
 
Usikurupukie kujibu watu bila kujuwa grammar. Soma kwanza then njoo uongee. Mwanafunzi wa Mlimani nini wewe? Kwani we umeelewa nini nilivyosema this guy's? Kwamba ni watu wengi ama? Watu wengine bwana, utadhani wasanii wa bongo fleva.

Mi nadhani this is supposed to be fun washkaji..take it easy,all of you..bifu kwenye kijiwe cha jokes sio iishu kivile..jamaa kweli hakuelewa..lakini naona kashifu yako imeenda mbali mkuu..ukizingatia mlimani ndiyo inayochukua sisi cream ya taifa
 
Wakati watu wengine wana azima suti kwenda kwenye mikutano, makongamano, kwenye harusi na bungeni

sisi tunafanyia ujinga ujinga tu!
 
May be the problem is yours.You don't have a sense of humour!

Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.
 
Kumbe hauishi bongo!basi huwez kucheka comedy za kibongo znaendana na mazingira!mwenyewe huwa napata shida sana kucheka comedy za wazungu au wamerakani maana I can't relate ! I guess that's your problem too mkereketwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom