Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!

mi nina mashaka hapo..inawezekana ulikuwa unevaa nusu uchi halafu unajiona mkali maana hata hapa dar mdada aliyevee nusu uchi ndio husikia manenokama hayo, na aliyevaa kwa heshima wala hakuna ishu hizo....kwanza hakuna hata mtu mmoja anayependa kula chakula kilichoachwa wazi, kwani pale ni mainzi tiu yanachezea na kusepa, watu makini wanapenda vyakula vilivyofunikwa...akili kichwani......shauri yako dada dunia mapito jiangalie!
Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa
ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua
jinsi gani upo hot and SEXY, ukitaka kujua kama umependeza au umechekesha siku hiyo pita mitaa
ya uswahilini. Utapenda! Huitaji kioo. Kumbe ni kupita tu uswazi ukutane na vijana kibao wasiogopa
kumsifia mwanamke mzuri kama mimi. Ndio narudi sasa nikaona why nisishee na wana MMU, hizi
habari zilizonitasabamisha jioni nzima, zikanifanya niliporudi nivue nguo niende kwenye kioo
nikajiangalie upya. Nafikiria kutoa shoo ya kuonesha mwili wangu; inaweza nilipa sana – kama
kuna PR mzuri hapa mmu nafasi iko wazi. Hio imekuja leo hii mimi Erotica
nilivopita nimepata hizi comments.

Kwa vijana wa vijiweni-Duh… wakubwa wanafaidi. Huyu ukiwa nae pressure tu hizo za
kujitakia-vijana wengine kijiweni. maradhi hayo-wazee kibarazani. Kwa mtindo huu Ukimwi
hautaisha babake-dereva taxi. Dada kweli wewe ni mzurii… ngoja nikatafute pesa nitajirike
nitakutafuta-mbeba tenga kichwani. Shemeji leo kaka kakuachia utembee kwa miguu?
Mamaaa!-haka katoto naona ndio kame balehe. Weweeeee!-kijiwe kingine.
Hao hata kwetu wapo hao! Dada mambo? Uongo kazi umependeza! Na miruzi.
Ilifika time nikawa natabasamu hata sikumbuki mengine.

Mwaaaaah! I feel SEXY! :A S-heart-2:
 
kuna kigezo hujagusia cha mhim. Wanitisha.
Hapa Erotica,
Kwa kweli I have to give you credit kwa unavyojikubali n for having very positive perspective about what God gave
you...You must be leading a stress free life which is gud.
But then I also hope u know that
a)There is more to a woman than looks
b) Everytime you share your ideas you also let the world know who you are
c)One day u may have to say what you are writing now while people have awareness on who u r
d) If you do a nude show like u say u will then what is left of a human nature in you will go down the drain and you will become like a lifeless sex symbol
 
Last edited by a moderator:
Erotica una vituko, sina cha kusema! lol! hongera mwaya kwa kuwa mzuri! wengi ni wazuri na hawajitambui,
 
Last edited by a moderator:
we nawe umezidi kujisifia kila uchao
mara ya mwisho uliahidi utaselect wa kuzaa nae
leo unakuja na ingine ya kusifiwa
nahisi unaweza mzuri kama huyu
Ug_Trish.jpg

au huyu
funky-hairdo.jpg

Do not condemn the judgment of another because it differs from your own. You may both be wrong.
 
Definetely yes... Erotica. You have just have to tell me what the job entails.....

Ndahani the job entails watu kulipia kula kwa macho. sasa creativity

inatoka kwako. jst tel me ur planz jinsi ya kufanikisha.
 
Last edited by a moderator:
mi nina mashaka hapo..inawezekana ulikuwa unevaa nusu uchi halafu unajiona mkali maana hata hapa dar mdada aliyevee nusu uchi ndio husikia manenokama hayo, na aliyevaa kwa heshima wala hakuna ishu hizo....kwanza hakuna hata mtu mmoja anayependa kula chakula kilichoachwa wazi, kwani pale ni mainzi tiu yanachezea na kusepa, watu makini wanapenda vyakula vilivyofunikwa...akili kichwani......shauri yako dada dunia mapito jiangalie!

jamiif punguza was was usiokuwa na msingi, usije kufa buree!

kuhusu kujiangalia sikosi kujiangalia mara hata kumi kwa siku.. wore noti.
 
Last edited by a moderator:
Hapa Erotica,
Kwa kweli I have to give you credit kwa unavyojikubali n for having very positive perspective about what God gave
you...You must be leading a stress free life which is gud.
But then I also hope u know that
a)There is more to a woman than looks
b) Everytime you share your ideas you also let the world know who you are
c)One day u may have to say what you are writing now while people have awareness on who u r
d) If you do a nude show like u say u will then what is left of a human nature in you will go down the drain and you will become like a lifeless sex symbol

sante kwa kunikumbusha PetCash.
 
Last edited by a moderator:
Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa
ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua
jinsi gani upo hot and SEXY, ukitaka kujua kama umependeza au umechekesha siku hiyo pita mitaa
ya uswahilini. Utapenda! Huitaji kioo. Kumbe ni kupita tu uswazi ukutane na vijana kibao wasiogopa
kumsifia mwanamke mzuri kama mimi. Ndio narudi sasa nikaona why nisishee na wana MMU, hizi
habari zilizonitasabamisha jioni nzima, zikanifanya niliporudi nivue nguo niende kwenye kioo
nikajiangalie upya. Nafikiria kutoa shoo ya kuonesha mwili wangu; inaweza nilipa sana – kama
kuna PR mzuri hapa mmu nafasi iko wazi. Hio imekuja leo hii mimi Erotica
nilivopita nimepata hizi comments.

Kwa vijana wa vijiweni-Duh… wakubwa wanafaidi. Huyu ukiwa nae pressure tu hizo za
kujitakia-vijana wengine kijiweni. maradhi hayo-wazee kibarazani. Kwa mtindo huu Ukimwi
hautaisha babake-dereva taxi. Dada kweli wewe ni mzurii… ngoja nikatafute pesa nitajirike
nitakutafuta-mbeba tenga kichwani. Shemeji leo kaka kakuachia utembee kwa miguu?
Mamaaa!-haka katoto naona ndio kame balehe. Weweeeee!-kijiwe kingine.
Hao hata kwetu wapo hao! Dada mambo? Uongo kazi umependeza! Na miruzi.
Ilifika time nikawa natabasamu hata sikumbuki mengine.

Mwaaaaah! I feel SEXY! :A S-heart-2:

Matatizo uanzia hapa! Kusifiwa kwa ukweli halisi na combination ya unafiki. Do not trust a woman!
 
Ndahani the job entails watu kulipia kula kwa macho. sasa creativity

inatoka kwako. jst tel me ur planz jinsi ya kufanikisha.

Erotica, hiyo kazi mbona siiwezi. We ushawahi kula kwa macho? Mi akuuu....chiwezi bwana wewe...labda kazi ya kula tena kwa nafasi hapo nikaribishe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom