Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!

Erotica

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,513
1,735
Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa
ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua
jinsi gani upo hot and SEXY, ukitaka kujua kama umependeza au umechekesha siku hiyo pita mitaa
ya uswahilini. Utapenda! Huitaji kioo. Kumbe ni kupita tu uswazi ukutane na vijana kibao wasiogopa
kumsifia mwanamke mzuri kama mimi. Ndio narudi sasa nikaona why nisishee na wana MMU, hizi
habari zilizonitasabamisha jioni nzima, zikanifanya niliporudi nivue nguo niende kwenye kioo
nikajiangalie upya. Nafikiria kutoa shoo ya kuonesha mwili wangu; inaweza nilipa sana – kama
kuna PR mzuri hapa mmu nafasi iko wazi. Hio imekuja leo hii mimi Erotica
nilivopita nimepata hizi comments.

Kwa vijana wa vijiweni-Duh… wakubwa wanafaidi. Huyu ukiwa nae pressure tu hizo za
kujitakia-vijana wengine kijiweni. maradhi hayo-wazee kibarazani. Kwa mtindo huu Ukimwi
hautaisha babake-dereva taxi. Dada kweli wewe ni mzurii… ngoja nikatafute pesa nitajirike
nitakutafuta-mbeba tenga kichwani. Shemeji leo kaka kakuachia utembee kwa miguu?
Mamaaa!-haka katoto naona ndio kame balehe. Weweeeee!-kijiwe kingine.
Hao hata kwetu wapo hao! Dada mambo? Uongo kazi umependeza! Na miruzi.
Ilifika time nikawa natabasamu hata sikumbuki mengine.



Mwaaaaah! I feel SEXY! :A S-heart-2:
 
sifa za kijinga. hakuna cha like wala nini...... Chukua hii:A S thumbs_down:


teh teh teh. inahuu? as if like yako itafanya nipungue uzuri.

hata usipo nisifia wewe wapo wa kunisifia. nikikosa najisifia kwa raha zangu.
 
ungekuwa umeniona wala hata usingeuliza. hapa ungesema tu nilivokuwa

nipo nimevaa. hakuna ambae aliniona atanisahau en time soon.

totozi zilikuwa nyingi, ukitegemea leo weekend. Kila mtu anataka atoke kivingine zaidi, kweli wakubwa wanafaidi.
 
Sio lazima mitaani..popote tu...Juzi nilikuwa hapo Arusha Brazil Lounge niliona kituko cha mwaka na naomba vijana wa Arusha maanze kujifunza ustaarabu alipigwa kijana wa watu kidogo Disco watu wauane n SIJUI HALI YAKE IKOJE HADI LEO KISA cha kipuuzi tu .....mambo hayo ya wasichana.
Tuwe wastaarabu hasa ARUSHA.
 
Back
Top Bottom