Misemo ya BONGE WA CLOUDS FM akimaliza!!!

huyu jamaa ananifurahisha sana kwa misemo mi namkumbuka kwa hii CHIZI AKAMATWI KWA UZURURAJI, n KIKOMBE CHA KAHAWA HAKIWEKWI KISOSI.......... Kama unakumbuka misemo mingine akimaliza tupia tufurahi pamoja

Heshima ya shati mfuko.

maji ya dafu hayapikii chai..
 
huyu jamaa ananifurahisha
sana kwa misemo mi namkumbuka kwa hii CHIZI AKAMATWI KWA UZURURAJI, n
KIKOMBE CHA KAHAWA HAKIWEKWI KISOSI.......... Kama unakumbuka misemo
mingine akimaliza tupia tufurahi pamoja

Maua ya kwenye shuka hayanukii.
 
bonge yupo sahihi kiziwa kipofu unaongea nae gizani kwa sababu anasikia lakini bubu mala nyingi huwa hawasikii
 
Nahisi hiyo red ingekuwa kipofu basi bonge ange-make sense, but anyway bonge anavituko sana
Mkuu hapo hakukosea kwakua bubu mara nyingi pia ni kiziwi so ilimuelewane lazima utumie isha ambayo kizani hata kuona ila kipofu kukiwa na mwanga au giza kwake yote sawa. KWAHIYO INALETA SINCE.
 
sikumbuki misemo yake mingine lakini huyu jamaa ni nooouma,sijui yeye anaitoa wapi hii misemo
 
Back
Top Bottom