Misemo ya BONGE WA CLOUDS FM akimaliza!!!

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
huyu jamaa ananifurahisha sana kwa misemo mi namkumbuka kwa hii CHIZI AKAMATWI KWA UZURURAJI, n KIKOMBE CHA KAHAWA HAKIWEKWI KISOSI.......... Kama unakumbuka misemo mingine akimaliza tupia tufurahi pamoja
 
Mtu mrefu ukimuona mfupi jua yuko mbali!
 
Back
Top Bottom