Muda si mrefu atakuwa Dr wakusomea na sio wakupewa!!!!!Duh basi kapanda chart!
Sio mtaalam wa kiswahili bwana, jamaa alikuwa anasoma sociology hapo UD akawa seminar leader.
jamaa nasikia ni kiwembe lakini!!!!!!!!!
nasikia anawatafuna
jamaa nasikia ni kiwembe lakini!!!!!!!!!
nasikia anawatafuna
kweli wewe ni Mtanzania haswa....huachi asili