Wapi Misanya Bingi & Dena Amsi?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Jamani naomba kuuliza, kuna yule jamaa aliyekua ni mtangazaji wa Redio 1 kipindi cha nyuma kwa jina Misanya Bingi hivi kaendaga wapi? kuna mtu anataarifa zake nikazipata? Asanteni.
 
mmoja wa watangazaji wachache ambae hakuzuzuka na kuitwa celebrity kwa kuonekana luningani
 
Ni Lecturer sasa, Yupo School of Arts and Social Science, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
 
Ni vizuri, akaze buti. Tunawahitaji watu kama hawa.............
 
Jamaa alikuwa kama Kibonde Efraim kwa waliokuwepo tu;likuwa tunahoji sana kubaki kwake wengine wakasema alikuwa shemeji wa Mengi. Bora ameenda shule alikuwa na uelewa mdogo saana.
 
Misanya nyakati tofauti watu walimshutumu kuwa lugha chafu kwa wasikilizaji wa radio one.

Nakutana nae sana kwenye duka moja la hardware na inaonekana kwa ile kwenda kusoma imefanya aelimike.
Na pengine ujana tu ulikuwa unamsumbua enzi hizo!
 
Yupo Udsm Idara ya sociology,alifanya masters bt walimbania sasa cjui kama keshaipata au lah,bado ni bonge ya kilaza!
 
ana akili bwana acheni kumbania.ni assistant lecturer pale UDSM,ili uajiriwe na chuo cha UDSM lazima uwe na GPA ya 3.8 and above hivo Misanya anayo na kavuka hiyo sasa mtasemaje ni kilaza wajamini? ukitaka kumwona mara nyingi kwa mlio dar mida ya jioni anapatikana bar ya Savei(migombani) kamapani yake ni wahadhiri wenzake na sijawahi kumwona na masholi sasa kama analamba sana hiyo ni ishu binafsi tu kwani hakuna wanajF wanaolamba sana huku wakijifanya wanakondoo wa bwana????? sifa zake mpeni bwana mmesahau enzi zake na anti Ndina sijui nae yuko wapi kwa sasa>.......
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom