Misamiati itumikayo vyuoni

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
wanajamii habari zenu , natumaini ni wazima wa afya tele... pili napenda kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza ningeomba wanajamii tujikumbushe misamiati na slang zinazotumika kwenye mavyuo hii itaoa msaada kwa wenzetu wanaojiunga sasa kuwa na awareness na hayo maneno au hiyo misamiati
binafsi nimepita pale MLIMANI aka The Hill aka Hekima ni uhuru... UDSM
baadhi ya maneno niliyokuwa nayasikia na mengine kuyatumia kipindi nasoma ni kama
MADESA/DESA-hili neno lina maananisha materials ya kujisomea, notices,tutorial,seminar paper ,handout, nk
KUNJI-hili neno maarufu sana kwa walewapigania haki wanalijua sana maana ake ni MGOMO
KIMEO/SAP- supplimentary (kurudia mitihani kwa kutovuka kiwango kilichowekwa)
DISCO-DISCONTINUE (kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu za kitalumaa /kufeli)
CONFERENCE-kipindi cha supplementary examinations.
MDIGRII- eneo lenye miti mikubwa karibia na utawala mlimani sisi usajili tulifanyia pale..
REV SQUARE -revolution square eneo karibia na cafteria one na two mlimani (udsm) ambapo mikutano mingi kipindi cha kudai haki ufanyika
CHAPEL-kanisa litumikalo kuabudu na wakristo wa madhehebu mbalimbali liko njia ya kuelekea HALL SIX na SEVEN na changanyikeni
MSAUD-msikiti chuo kikuu mlimani/pia ni jumuiya ya waislamu mlimani..
RB-RICE and beans wali maharage..
BINARY/PASI NDEFU/LAMPARD/ONE ZERO ONE /-KULA MLO MMOJA AU MIWILI KUTOKANA NA UCHUMI
BOOM-pesa ya kujikimu kwa ajili ya chakula na malazi
VIMBWETA -madawati / ya zege ya kusomea COET wanaita SLAB
MNAWEZA KUONGEZA MENGINE KUTOKANA CHUO ULICHOPO NA KIPINDI ULICHOKUWA UNASOMA

NAWASILISHA
UPDATE ZA WADAU
KUINGIZWA CHAKA- Kupewa majibu ambayo siyo sahihi
Hiyo EXILE naifananisha na kitu moja pale BUCHS sasa CUHAS "KUADMIT" wakimaanisha kuvuta demu na kulala nae ucku kucha.
1.Kwenda Ubalozini..( kuzuru kwa ndugu na jamaa ili kubana matumizi au kuomba mshiko)

2. Kukomnika ( kushindia mkate na chai au maji wakati wa ukata..duh hii ilikuwa balaa)
teh teh teh!! Kutoka udom kuna hizi tena!!
MJAC/ MJASI- mama ntilie wanaouza chakula tofauti na cafteria
NYAVU - supplimentary
Mzigo- carry over
NG'OX- colleg ya education (ts kifup cha jina la kijj near colleg ya education- Ng'ong'ona)
 
Ahsante sana me nimeipenda RB Mdigrii na Msaud.
haha ndugu yangu achana na RB ni muokozi zile wiki zetu boom likaribia kukata dada zetu mwanzoni mwa semista wengi wao NI vyepe kwenda mbele IKIFIKA WIKI ZETU WOTE NI FLAT RATE RB kwenda mbele.. wiki za mwanzo chuo raha KILA MSOSI UNASUSHIA NA SODA
 
wanajamii habari zenu , natumaini ni wazima wa afya tele... pili napenda kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza ningeomba wanajamii tujikumbushe misamiati na slang zinazotumika kwenye mavyuo hii itaoa msaada kwa wenzetu wanaojiunga sasa kuwa na awareness na hayo maneno au hiyo misamiati
binafsi nimepita pale MLIMANI aka The Hill aka Hekima ni uhuru... UDSM
baadhi ya maneno niliyokuwa nayasikia na mengine kuyatumia kipindi nasoma ni kama
MADESA/DESA-hili neno lina maananisha materials ya kujisomea, notices,tutorial,seminar paper ,handout, nk
KUNJI-hili neno maarufu sana kwa walewapigania haki wanalijua sana maana ake ni MGOMO
KIMEO/SAP- supplimentary (kurudia mitihani kwa kutovuka kiwango kilichowekwa)
DISCO-DISCONTINUE (kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu za kitalumaa /kufeli)
CONFERENCE-kipindi cha supplementary examinations.
MDIGRII- eneo lenye miti mikubwa karibia na utawala mlimani sisi usajili tulifanyia pale..
REV SQUARE -revolution square eneo karibia na cafteria one na two mlimani (udsm) ambapo mikutano mingi kipindi cha kudai haki ufanyika
CHAPEL-kanisa litumikalo kuabudu na wakristo wa madhehebu mbalimbali liko njia ya kuelekea HALL SIX na SEVEN na changanyikeni
MSAUD-msikiti chuo kikuu mlimani/pia ni jumuiya ya waislamu mlimani..
RB-RICE and beans wali maharage..
BINARY/PASI NDEFU/LAMPARD/ONE ZERO ONE /-KULA MLO MMOJA AU MIWILI KUTOKANA NA UCHUMI
BOOM-pesa ya kujikimu kwa ajili ya chakula na malazi
MNAWEZA KUONGEZA MENGINE KUTOKANA CHUO ULICHOPO NA KIPINDI ULICHOKUWA UNASOMA
NAWASILISHA

teh teh teh!! Kutoka udom kuna hizi tena!!
MJAC/ MJASI- mama ntilie wanaouza chakula tofauti na cafteria
NYAVU - supplimentary
Mzigo- carry over
NG'OX- colleg ya education (ts kifup cha jina la kijj near colleg ya education- Ng'ong'ona)
 
wanajamii habari zenu , natumaini ni wazima wa afya tele... pili napenda kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza ningeomba wanajamii tujikumbushe misamiati na slang zinazotumika kwenye mavyuo hii itaoa msaada kwa wenzetu wanaojiunga sasa kuwa na awareness na hayo maneno au hiyo misamiati
binafsi nimepita pale MLIMANI aka The Hill aka Hekima ni uhuru... UDSM
baadhi ya maneno niliyokuwa nayasikia na mengine kuyatumia kipindi nasoma ni kama
MADESA/DESA-hili neno lina maananisha materials ya kujisomea, notices,tutorial,seminar paper ,handout, nk
KUNJI-hili neno maarufu sana kwa walewapigania haki wanalijua sana maana ake ni MGOMO
KIMEO/SAP- supplimentary (kurudia mitihani kwa kutovuka kiwango kilichowekwa)
DISCO-DISCONTINUE (kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu za kitalumaa /kufeli)
CONFERENCE-kipindi cha supplementary examinations.
MDIGRII- eneo lenye miti mikubwa karibia na utawala mlimani sisi usajili tulifanyia pale..
REV SQUARE -revolution square eneo karibia na cafteria one na two mlimani (udsm) ambapo mikutano mingi kipindi cha kudai haki ufanyika
CHAPEL-kanisa litumikalo kuabudu na wakristo wa madhehebu mbalimbali liko njia ya kuelekea HALL SIX na SEVEN na changanyikeni
MSAUD-msikiti chuo kikuu mlimani/pia ni jumuiya ya waislamu mlimani..
RB-RICE and beans wali maharage..
BINARY/PASI NDEFU/LAMPARD/ONE ZERO ONE /-KULA MLO MMOJA AU MIWILI KUTOKANA NA UCHUMI
BOOM-pesa ya kujikimu kwa ajili ya chakula na malazi
MNAWEZA KUONGEZA MENGINE KUTOKANA CHUO ULICHOPO NA KIPINDI ULICHOKUWA UNASOMA
NAWASILISHA

ha ha ha..Mitaa maarufu
UDSM
YOMBO NA KARIAKO0
 
1.Simbi ( kuchabo paper)
2.kupigwa Exile( wanaroom msepa wote kama mshakaji kaja na mtoto.
3. kupiga Open.( kutokuhudhuria lecture hapa unapiga msuli room)
Hii ni kwa Muhas sijui vyuo vingine.
mwanangu umekubusha mbali sana mie wakati niko first nilipigwa EXILE na fourth fulani acha tu tehe tehe .. hasa wiki za kwanza exile aziepukiki
 
Back
Top Bottom