Misaada ya Ujerumani kwa CCM okay, kwa CHADEMA nuksi?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
SG++b+%281%29.JPG
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwa katika mazungumzo na meya wa jiji la Hamburg Wolfigang Shmidth wakati wa kufungwa kwa mkutano mkuu wa Chama cha SPD cha Ujerumani. Aliyesimama katikati ni Olaf Schok.

Chadema hakijaonyesha uwazi wa kujihusisha na tuhuma zinazotolewa na CCM kwamba wanafadhiliwa na chama cha Ujerumani, lakini leo tunashuhudia chama kinachofadhiliwa na vyama vya siasa vya Ujeruamni ni CCM na hata kualikwa kwenye mkutano mkuu wa chama cha SPD na kuhudhuriwa na katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama . Mwenendo huu na tuhuma za CCM zinachafua na kutifua zaidi vichwa vya watanzania. CCM ina wivu wa kupitiliza.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mkuuu me wala sishangai kabisa maana CCM wote ni vichwa maji na hawajui nini wanachofanya,na kila wanachofanya vyote sio sahihi vyote vipo kwenye maslahi yao wenyewe,wapo karibu na hao wagermany wana maana yao na wanajuwa nini wanafanya ndio maana....
 
Mwache ajifunze mbinu za kujivua gamba kutoka kwa wenzetu,naona wanamwambia muraa ingekuwa ni huku kwetu hayo magamba yangekuwa historia
 
IMG_7068+(1).JPG

Speaker makinda akiongea na Balozi wa Ujeruamni nchini November 28, 2011

Kabla Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama kwenda huko, CCM ilimtuma speaker Makinda kumwita Balozi wa Ujerumani nchi kuongea naye ili kumweka sawa Mukama kutokana na shutuma Bungeni kwamba Ujerumani inafadhilia machafuko nchini kwa kuichangia Chadema. Kikao hiki lilifanyika ofisi ya speaker makinda November 28.
 
Si ujerumani tu, hata Uingereza ya David Cameroon inawapa fedha nyingi sana serikali ya ccm. Mfa maji haachi kutapa.
 
Wapewe tu hizo fedha zote na watakuja kuzilipa mbele ya umma wacha wafurahi tu now....
 
Back
Top Bottom