Misa tanzania wailaumu serikali kwa kushindwa kulifungulia gazeti la mwanahalisi

kinyongo

Member
Oct 13, 2012
39
9
Taasisi ya vyombo vya habari kusini Mwa Afrika Tawi la Tanzania(MISA TANZANIA) umeendelea kuonyesha masikitiko yake kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushindwa kulifungulia gazeti la Mwanahalisi mpaka sasa pamoja na kuwa Ukweli umegundulika kuwa yaliyosemwa na Mwana Halisi ni ya kweli kabisa.

source maasinda
 
Duh, mie siku hizi sina gazeti la kusoma. Naona vichwa vya habari tu na matangazo ya kazi. Yaani nimelimiss mno.
 
mwanahalisi wanaandika habari za ukweli wanafungiwa....gazeti moja la kiislam linaandika habari za uchochezi na kukashfu dini zingine lakini halifungiwi mpaka leo....hiyo ndo serikali yetu
 
Back
Top Bottom