mirathi ya waliokufa mererani

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Maporomoko yatokea Mgodini Mererani na kuua idadi ya wafanyakazi isiyojulikana ndipo kampuni ya Meremeta Mining Group ikatangaza ndugu na warithi wote waende wakachukue hela za ndugu zao waliokufa ktk maporomoko hayo ikafika zamu ya Mke mmoja kuhudumiwa ndipo mahojiano yakaanza. SECRETARY:Unaitwa nani? MKE:Asha Juma Imamu .SEC:Wewe unamrithi nani? MKE:Kasimu Juma Imamu.secretary akaanza kulitafuta lile jina ktk orodha ya waliokufa lkn hakuliona. SEC:Samahani mama hilo jina halipo ktk orodha ya waliofariki au ana jna jngine?MKE:Angalia vzuri bibie mume wangu ni mfanyakazi halali wa kampuni hii....Ndipo Mume anapotokea kwa furaha na kumkimbilia mkewe ili amkumbatie mkewe huyo .MUME:mke wangu M/mungu ni mkubwa amenilinda mie sijafa wakati maporomoko yanatokea mie nilienda ku*ya.MKE:pumbavu kabisa mwanaume gani wewe, kwasababu ulienda ku*ya mie ndio nakosa hela
 
I bet Jamaa aliamua kufa baada ya kupewa hilo tusi....

Pesa, kweli sabuni ya roho.....
 
Washa umenikumbusha machungu,this is not jokes it's true story 4 me.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom