Mirambo wanaume

toghocho

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
1,172
198
wale watu wa kazi tuliosoma shule ya WANAUME MILAMBO vipi mpo humu JAMVINI? je! mnakumbuka mambo gani pale URAMBONI? tukumbushane
 
Tupo namkumbuka mwalimu Mjunwa, Sikazwe na Magogwa! Ila niliwahi kufukuzwa baada ya Sikazwe kuleta unoko but was back. Nkumbuka vurugu zetu pale Chuo cha Uwalimu tulikuwa tunacheza na Boyz hahaha refa alipigwa na uh! Mambo ni mengi sana ila ile shule duh!

Nimelimic sana vilevile bweni la Sokoine,,, ambalo wazee wa :majani7::music: walikuwa wanalipenda sanaa!
 
Kwanza jina la shule ni Milambo sio Mirambo.

Nakumbuka enzi za akina Mtungirehi,Enos Lukyaa,Yahaya Ally na akina Samson Simba waanzilishi wa maandamano ya kwenda kwa Mkuu wa Mkoa baada ya Mgomo wa wanafunzi uliosababishwa na Mwalimu Kiala au Singa na Mabhuye wakati Fupa au Msemakweli alikuwa kasafiri kwenda Arusha kwenye uchaguzi wa form five.

Pia manakumbuka Ngema,sifongo,nyuji na nyari? na waalimu akana Njile, Known as,solonga,izintinti kwa wa O level? pia wanawakumbusha Mbuzi Mob? ilikuwa nyuma ya jiko? mankumbuka mende wa Tabora Girls?
 
Aise wadau mmenikumbusha mbali sana, nipo humu jamvini, sito sahau mwaka 2000 kwenye nusu fainari ya UMISETA pale uwanja wa Mwinyi kitu walichofanyiwa Tabora Boys, kimsingi ilisikitisha sana, jinsi tulivyomkimbiza 2PAC bila mafanikio, namkumbuka sana mzee rwabukoba, Omtimba, kwigeza na madenti kama Zengo M mpole Mr Ticha neto kaparata, Jonathan Manyasa,,,,,,,,,,,, Kifupi nimelimisi chama langu la KIMBEMBE kwenye mashindano ya Mgurunde we acha tu
 
Back
Top Bottom