Miradi mikubwa ndani ya Dodoma

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,954
Naamini kufuatia Serikali kuu kuamua kuhamia Dom basi ni lazima kuna miradi mikubwa itakayotekelezwa.Hebu itaje mimi naanza na huu.

Barabara ya Moro - Dom itatengenezwa kuwa njia nne.
 
Sidhan hiyo barabara kama itapanuliwa from morogoro to dom...maybe anzia ihumwa hivi had dom...imagine dar chalinze na umuhim wake kiuchum wameshindwa ifanye iwe 4ways..
 
Mashamba yapo bagamoyo fukayosi yote yanauzwa kwanzia Heka moja,endapo utalipia garama ya upimaji utapewa hati yako ndani yasiku chache,ila kwa awali utapewa hati ya umiliki toka Serikali yakijiji, umbali ni km 3 kutoka main road bei sh. 2.5 Mil. Na km 13 & 14 ni sh 1 mil.Kuangalia maeneo ni kila jumamosi asubuh8:30 Transport utachangia 15 elfu.Tuna kopesha Na pia tunauza kwa cash. 0712183055 .Office zipo mbez bich Tank Bovu.Karbuni VKP Investment. Hakuna riba wala udalali. Mteja anaweza lipa deni lake kwa awam tatu,mbili au moja kwa 30%, alafu20% then anamalizia deni lake na10% . 0712 18 30 55
 
Hii kitu bado ipo mkuu?
 
Back
Top Bottom