"MIPOSHO" ya WABUNGE,UKWELI NI UPI?

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Sakata la Miposho ya Wakalia Sponji kule Mjengoni limepata sura mpya pale ambapo Kurugenzi ya Rais upande wa Mawasiliano ilipokanusha kauli za viongozi wa Serikali Mjengoni kwamba Mkuu wa Kaya ameridhia Miposho ilipwe kwa Kukalia Sponji tu!Kurugenzi imesema:Mkuu wa Kaya hajaidhinisha Mipasho kuongezwa,amewaomba wabunge wafikirie upya suala hili!Supuika wa Mjengo anasema Miposho imeanza kulipwa!UPI NI UKWELI?
 
Back
Top Bottom