mipingo inauzwa

mila

Member
Feb 15, 2011
9
0
miti ya mipingo maarufu kwa kutengenezea bidhaa za vinyago na furniture mbalimbali inapatikana hapa,bei ni makubaliano.
piga namba 0659 631651 au email kwa dll_kaale@yahoo.com
 
MHHH. Una kibali cha kukata? isije ikawa ya dili

Si upeleke pale Mwenge kwa wamakonde au upo mkoani?
 
Back
Top Bottom