Mipango convocation

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Chuo cha mipango dodoma leo kinafanya convocation kwa kuhusisha wataalamu wa mipango kujadili mchango wao katika miaka 50 ya uhuru na mwelekeo wa miaka 50 mbele huku wakizingatia nafasi ya tanzania katika east africa community, na masuala ya utandawazi. Msingi wanajikita kwenye documents zifuatazo, vision 2000-2025, mkukuta2, millenium dev goal, na mkakati wa miaka mitano 2011/2012-2015/2016.
Kesho ni mahafali ya chuo hicho!
Nimemaliza over!! Roja umenisoma over!!
 
Back
Top Bottom