Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
kwa kweli ntamkumbuka sana kwa kutujengea shule za sekondari kila kata pamoja na kuwa zina changamoto ndogo ndogo lakini cheti cha form four nimepata
You ought to argue and not shouting. Your stupidity manifests itself through arrogant and empty shouts.Who the hell are you to question my education? I am simply better educated than you by 100 folds.
I am afraid you are not educated to that extend, otherwise you could have understood the simple adage which was posed to Pasco on the question of 'survival of the fittest'. You are obsessed with stupid arrogance!Who the hell are you to question my education? I am simply better educated than you by 100 folds.
Duu! kauri za kimatonya hizo.............Mimi namkubali JK na hasa pale aliposema kuwa President Bush alimwambia yeye ni "good man." aliongeza na kusema: unajua hawa watu weupe wakikuambia wewe ni good man basi ujue mambo yataanza kunyooka. misaada kede kede.
I am afraid you are not educated to that extend, otherwise you could have understood the simple adage which was posed to Pasco on the question of 'survival of the fittest'. You are obsessed with stupid arrogance!
You ought to argue and not shouting. Your stupidity manifests itself through arrogant and empty shouts.
Duh!Kumbe JK ana mazuri?Tusisahau pia ujenzi wa Barabara hapa nchini. Nina hakika kila mkoa unashuhudia mradi mkubwa wa barabara. Daraja la malagalasi nasikia linajengwa, nasikia Sumbawanga inaunganishwa na Tunduma, nasikia.Tabora inaunganishwa na Nzega, nasikia Tabora inaunganishwa na Kigoma, nasikia Iringa inaunganishwa na Dodoma, nasikia Singida, Arusha na Manyara zinaunganishwa, nasikia Dodoma na Manyara zinaunganishwa, nasikia Mtwara na Ruvuma zinaunganishwa kupitia Tunduru, nasikia Tanga, Handeni, Korogwe na Morogoro zinaunganishwa pia nasikia Bukoba na Biharamulo zinaunganishwa. Zooooote hizo ni kwa lami siyo changarawe. Penye sifa na apewe sifa.
Pasco amesema tuongelee mazuri tu hapa. Huenda akaja na nyingine itakayoongelea aliposhindwa.
Sisi hapa kwetu Tanzania hatujui, hatujasikia, Kikwete ana vimada. Kama inabidi mpaka nisafiri mpaka London sijui na wapi huko nipeleleze basi I am right, his public image at home is unblemished in so far as fidelity to his wife is concerned, toka awe Rais. Ya huko Marekani na London sisi hapa sio tu hatuyajui, hatutaki kuyajua, kwa sababa inatosha kama akitua tu Nyerere International he checks his purile misbehavior at the lounge doors, anajiheshimu na kutuheshimu akishakanyaka ardhi ya Tanzania.Naona hujasafiri nje ya nchi ndugu yangu. Nenda London kaulize nani pale alikuwa anamliwaza. Nenda Marekani kaulize ni akina nani waliolipiwa nauli kwenda kuweka joto kwenye viota vya mahaba. Don't even go there.
Ukiwa waziri wa madini ndio nini? utapingana na waziri mkuu wako na Rais wa nchi? usituletee fikira za kitoto hapa.
Usitake kudanganya watu, huyo rafiki yake "Barrick" ni wa kampuni ipi?
Board of Directors
Howard L. Beck, Q.C.
Toronto, Ontario
Corporate Director
Mr. Beck has been a Director of Barrick since 1984.
C. William D. Birchall
Toronto, Ontario
Vice Chairman and Director, Barrick Gold Corporation
Mr. Birchall has been a Director of Barrick since 1984.
Donald J. Carty, O.C.
Dallas, Texas
Chairman, Porter Airlines Inc. and Virgin America Airlines
Mr. Carty has been a Director of Barrick since 2006.
Gustavo A. Cisneros
Santo Domingo, Dominican Republic
Chairman, Cisneros Group of Companies
Mr. Cisneros has been a Director of Barrick since 2003.
Peter A. Crossgrove, O.C.
Toronto, Ontario
Corporate Director
Mr. Crossgrove has been a Director of Barrick since 1993.
Robert M. Franklin
Toronto, Ontario
President, Signalta Capital Corporation
Mr. Franklin has been a Director of Barrick since 2006.
J. Brett Harvey
Canonsburg, Pennsylvania
Chairman, President and Chief Executive Officer, CONSOL Energy Inc.
Mr. Harvey has been a Director of Barrick since 2005.
Dambisa Moyo
London, United Kingdom
International economist and commentator on the global economy
Elected to the Board of Directors at the 2011 Annual General Meeting.
The Right Honourable Brian Mulroney, P.C.
Montreal, Quebec
Chairman of Barricks International Advisory Board
Senior Partner, Norton Rose OR LLP
Mr. Mulroney has been a Director of Barrick since 1993.
Anthony Munk
Toronto, Ontario
Managing Director, Onex Corporation
Mr. Munk has been a Director of Barrick since 1996.
Peter Munk, C.C.
Toronto, Ontario
Founder and Chairman, Barrick Gold Corporation
Prior to September 2006, Mr. Munk was also the Chairman of Trizec Properties, Inc.
Aaron W. Regent
Toronto, Ontario
President and CEO, Barrick Gold Corporation
Mr. Regent has been a Director of Barrick since February 2009.
The Honourable Nathaniel P. Rothschild
Klosters, Switzerland
Corporate Director
Founder and Co-Chairman, Vallar PLC, Co-Chairman, EN+ Group Limited
Mr. Rothschild has been a Director of Barrick since 2010.
Steven J. Shapiro
Houston, Texas
Corporate Director
Mr. Shapiro has been a Director of Barrick since 2004.
Audit Committee
S.J. Shapiro, Chairman
D.J. Carty
P.A. Crossgrove
R.M. Franklin
Compensation Committee
D.J. Carty, O.C.,Chairman
G.A. Cisneros
J.B. Harvey
S.J. Shapiro
Corporate Governance and Nominating Committee
R.M. Franklin, Chairman
H.L. Beck
D. Moyo
Corporate Responsibility Committee
P.A. Crossgrove, O.C., Chairman
C.W.D. Birchall
J.B. Harvey
D. Moyo
A.W. Regent
Finance Committee
C.W.D. Birchall, Chairman
H.L. Beck
A. Munk
N. Rothschild
Number of Registered Shareholders
18,547
Hayo maswali ungemuuliza Karamagi ambaye alikwenda kusaini mikataba kwenye hoteli London. Kikwete na Mkapa yao ni moja. Kwanza wote ni mafisadi na wote wamefaidika na mikataba mibovu ya madini na kuuza nchi yetu to the lowest bidder.Ukiwa waziri wa madini ndio nini? utapingana na waziri mkuu wako na Rais wa nchi? usituletee fikira za kitoto hapa.
Usitake kudanganya watu, huyo rafiki yake "Barrick" ni wa kampuni ipi?
Board of Directors
Howard L. Beck, Q.C.
Toronto, Ontario
Corporate Director
Mr. Beck has been a Director of Barrick since 1984.
C. William D. Birchall
Toronto, Ontario
Vice Chairman and Director, Barrick Gold Corporation
Mr. Birchall has been a Director of Barrick since 1984.
Donald J. Carty, O.C.
Dallas, Texas
Chairman, Porter Airlines Inc. and Virgin America Airlines
Mr. Carty has been a Director of Barrick since 2006.
Gustavo A. Cisneros
Santo Domingo, Dominican Republic
Chairman, Cisneros Group of Companies
Mr. Cisneros has been a Director of Barrick since 2003.
Peter A. Crossgrove, O.C.
Toronto, Ontario
Corporate Director
Mr. Crossgrove has been a Director of Barrick since 1993.
Robert M. Franklin
Toronto, Ontario
President, Signalta Capital Corporation
Mr. Franklin has been a Director of Barrick since 2006.
J. Brett Harvey
Canonsburg, Pennsylvania
Chairman, President and Chief Executive Officer, CONSOL Energy Inc.
Mr. Harvey has been a Director of Barrick since 2005.
Dambisa Moyo
London, United Kingdom
International economist and commentator on the global economy
Elected to the Board of Directors at the 2011 Annual General Meeting.
The Right Honourable Brian Mulroney, P.C.
Montreal, Quebec
Chairman of Barricks International Advisory Board
Senior Partner, Norton Rose OR LLP
Mr. Mulroney has been a Director of Barrick since 1993.
Anthony Munk
Toronto, Ontario
Managing Director, Onex Corporation
Mr. Munk has been a Director of Barrick since 1996.
Peter Munk, C.C.
Toronto, Ontario
Founder and Chairman, Barrick Gold Corporation
Prior to September 2006, Mr. Munk was also the Chairman of Trizec Properties, Inc.
Aaron W. Regent
Toronto, Ontario
President and CEO, Barrick Gold Corporation
Mr. Regent has been a Director of Barrick since February 2009.
The Honourable Nathaniel P. Rothschild
Klosters, Switzerland
Corporate Director
Founder and Co-Chairman, Vallar PLC, Co-Chairman, EN+ Group Limited
Mr. Rothschild has been a Director of Barrick since 2010.
Steven J. Shapiro
Houston, Texas
Corporate Director
Mr. Shapiro has been a Director of Barrick since 2004.
Audit Committee
S.J. Shapiro, Chairman
D.J. Carty
P.A. Crossgrove
R.M. Franklin
Compensation Committee
D.J. Carty, O.C.,Chairman
G.A. Cisneros
J.B. Harvey
S.J. Shapiro
Corporate Governance and Nominating Committee
R.M. Franklin, Chairman
H.L. Beck
D. Moyo
Corporate Responsibility Committee
P.A. Crossgrove, O.C., Chairman
C.W.D. Birchall
J.B. Harvey
D. Moyo
A.W. Regent
Finance Committee
C.W.D. Birchall, Chairman
H.L. Beck
A. Munk
N. Rothschild
Number of Registered Shareholders
18,547
Mkuu Joka Kuu, kuna tofauti kati ya kuchekesha na kufurahisha, kuchekesha ni kuwafanya watu wacheke, kama comedians, na kufurahisha, ni kuwafanya watu wafurahi!. Mimi nilimaanisha, JK akihutubia, huwa ana crack jokes na watu wanafurahia kumsikiliza, na sio wanacheka kama vichekesho. A good sense of humour, its about kufurahisha na sio kuchekesha!.Pasco,
..JK huwa anachekesha sana haswa anapohutubia wa kinamama.
..nakumbuka alipohutubia UWT na kusema: " kina mama wa Tanzania endeleeni kuzaa wasichana wazuri...."
..kauli yake nyingine ya kuvunja mbavu and most humurous ni hii: " Ikiwa tutaruhusu wasichana waliojifungua kuendelea na shule basi matiti yao yatakuwa yanachirizika maziwa darasani..."
NB:
..kuhusu "uhendsam" wa JK nadhani nilianza kusikia ktk mahojiano ya Butiama Radio na Muhidin Michuzi. Yaani badala ya kueleza sifa za uongozi za JK, Michuzi aliishia kumsifia JK kwamba ni bonge la "hendsam".
Mkuu Joka Kuu, kuna tofauti kati ya kuchekesha na kufurahisha, kuchekesha ni kuwafanya watu wacheke, kama comedians, na kufurahisha, ni kuwafanya watu wafurahi!. Mimi nilimaanisha, JK akihutubia, huwa ana crack jokes na watu wanafurahia kumsikiliza, na sio wanacheka kama vichekesho. A good sense of humour, its about kufurahisha na sio kuchekesha!.
Hilo la kuhusu kumsifia kuwa JK ni bonge la HB, that is a fact!, pia sometime inalipa!, si umeona ankal alipo?!.
Duh!! Uneducated fool from uneducated school!!! Ndio maana mimi hukimbilia ngumi tu kuliko madongo kama haya! khaaa!!I am better of being arrogant rather than being an uneducated fool from an uneducated school, like you have shown, using parables not fit in our societal norms.
MTM, Nyerere alipokuwa akuhutubia with a good sense of humour, tulisikiliza tukitamani asimalize!, alikuwa anatoa jokes watu wanacheka kuonyesha furaha yao na sio kucheka kutokana na vichekesho!. Vivyo hivyo kwa JK!.you are being satirical... arent you??? eeehh??? ati jokes zinafurahisha, mimi nilijua zinachekesha!!!
Pasco sasa wewe unatafuta shida kubwa
Jasusi, mtoa mada anashauri tujadili kwanini alichaguliwa kwa "kishindo". Ingawa inawezekana kukawa na kufeli kwa "kishindo vile vile"