Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

Thanks MY BRO... I KNOW!!! as always it depends on the school of thoughts and mentors in life

One thing for sure my friend, if you try to analyse yourself, you will realise that you have almost eaten your very own self. My advice mkuu.... practice what you preach!! and BTW, I learned to Fear the COPTIC, especially when they bring ornaments
Mkuu MTM, human beings are not static, we are dynamic, we change with time!. Some us changes for the better, some changes for the worse!. Mimi naamini nilijikwaa tuu mahali nikaanguka, nitaamka, nitajifuta vumbi na kusimama tena kuendelea na safari for the better!.
 
Wanabodi,
Naangalia TBC Live, Rais Jakaya Kikwete yuko hewani!
Miongoni wa mazuri ya JK, ni having a good sense of humour, akiongea, huchoki kumsikiliza!.
Alipokuwa akiongelea kilimo cha ndizi kijijini kwao Msoga, Bagamoyo, akasema wakulima wana bananisha migomba mingi kwenye shina moja, matokeo yake kila mgomba unatoa kichane kimoja au viwili ya vindizi vilivyokondeana!.

Akasema wanakijiji wale wanalima hivyo kwa sababu hawajui kuwa kama wakiacha mgomba mmoja kwenye shina moja, mgomba huo utatoa mkungu mkubwa wa ndizi, na ndizi zenyewe zitakuwa ni ndizi za shibe kama "Mrisho Mpoto"!. Ukumbi mzima ulizizima kwa vicheko, watu hawana mbavu!.

Kuwa na 'good sense of humour' ni kipaji na ni miongoni mwa mambo mazuri machache ya rais wetu Jakaya Kikwete, besides good looking!.

Kwa wale wenye kumbukumbu ya hotuba za Mwalimu, ukiondoa ile hotuba yake ya kutangaza vita, hotuba za Mwalimu, watu walikuwa wanacheka na hutamani amalize kuzungumza!.

Hii ni thread ya miongoni mwa mazuri ya JK, kama na wewe unalo zuri lolote la JK ambalo unalijua, unaweza kuliweka.

Kwa vile tunazungumzia mazuri, ningeomba wale ambao hawana zuri lolote la kuzungumzia JK, sio lazima mchangie, wala zuri hili la "good sense of humour", haimaanishi JK sasa ndio rais bora kwa Tanzania, wala haina maana ndio hana mabaya yake!, leo tuzungumzie mazuri yake!

Angalizo:
Wanabodi wenzangu, tunajukumu la kujimoderate sisi wenyewe kulinda hadhi ya jukwaa letu, haiwezekana kila siku sisi tukawa ni watu wa kulalamika tuu, au kubonda tuu, mara moja moja kwenye mazuri, pia tutoe sifa pale panapo stahili!.

Natanguliza Shukrani kwa kunielewa!

Asanteni!

Pasco (wa jf)

Note: Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali ni muumini wa ukweli "seek the truth, and the truth will set you free"!. Kwa wale wanaofikiri Pasco wa jf, ni mshabiki wa CCM, tafuteni thread yangu ya "CCM Imechokwa" !.

Ni rais mwenye huruma na upendo sana...j.k ana kipaji cha kupendwa na watu,Leo mchukie mseme vibaya lkn akija ktk eneo lako utashangaa watu watakavyokanyagana ili wamsalimie.
nilishuhudia haya ktk msikiti wa kichangani alikuja kuswali(haiusiani na dini ni mfano tu)basi alipotoka akashangaa watu wanavyokanyagana wampe mkono mpk akatoa machozi mana hakutegemea na hata protocal team haikujiandaa na ulinzi mkubwa.Huyo ndo J.k mwenye good looking & good sense of humour.
 
Mkuu MTM, human beings are not static, we are dynamic, we change with time!. Some us changes for the better, some changes for the worse!. Mimi naamini nilijikwaa tuu mahali nikaanguka, nitaamka, nitajifuta vumbi na kusimama tena kuendelea na safari for the better!.

Nimekusoma Pasco but i am worried unaposema some of us change for the better, and some change for worse... (knowing if you are better or worse, could be a long term process, requiring external observation as well as a few notable milestones between the timelines) it is difficult to say if you are heading in the right direction without external views, IMO

But good luck in your endeavor but take it from me; something ahs changed and not to the good for you.... you have lost that neutrality and i even now see how opportunistic your are by tring to use JF views kwenye vipindi vyako unavyotaka ku-air. It is really bad when you think you are smart and can play with people philosophy thinking that it can always go your way

If you want to succeed, dont be a puppet! but if you want a joyride, then you can be one... My daughter has a toy, it closes its eyes when put asleep and opens the eyes whenever kept in upright position; and she loves it!!!

I AM SORRY BUT I AM WORRIED NA HIYO JOYRIDE UNAYOTAKA KUENJOY KWA MIGONGO YA JF

Goodbye and Goodluck
 
Uzuri wa JK ni weakness zake zimewezesha mazuri . Sometime udhaifu unaweza kuwa silaha. Kuna mambo yanaoyendelea CCM . Na maamuzi yake ya kuchelewa au kusburi kusiiklizia umma na kugeuka geuka yamesaidia sana. Mfano Isue ya Jairo, Nyogeza wa posho za wabunge nk. Mkapa aliongoza kwa style ya udiketa fulani hivi . hakukuw aa nafasi ya kurudi nyuma no.

Na huko CCM uzuri wake JK wa kuuma na kupuliza nadhani hata Lowasa anajiuliza kama walikutana bararaani

Yaani kuna sifa fulani za JK angekuwa nazo Mkapa na na sifa fulani za Mkapa angekuwa nazo JK may be tungekuwa hatua tano mbele zaidi ya tulipo sasa
Hakuna mtu aliyeandika sentensi fupi na ikajumuisha yote kama wewe! UZURI WA JK NI WEAKNESS ZAKE UMEWEZESHA MAZURI!
 
Mkuu Jasusi, come 2015, tutaletewa mwingine anaechagulika na Watanzania, watamchagua!. Kama hakuna civic education ya kuwaeleza Watanzania wachague nini, then chochote tutakacholetewa tutachagua!

Mimi chaguo langu kwa mgombea wa CCM ni EL, jamaa hajichekeshi, ni no nonsense man mwenye kutaka delivery, wengi humu hamumpendi kwa sababu ya mizigo aliyowabebea watu!. Kwa vile JK ni diplomat, alitoka foreign, na moja ya sifa za good diplomat ni kujua kujichanganya na watu na kusmile, ambazo JK anazo, basi jiandaeni kuletewa aliyeko foreign sasa, Mhe, Membe, he is good looking, he smiles good, na pia ni mtu wa watu, mkifuatilia baadhi ya hotuba zake, pia atakuwa na 'good sense of humour' ambazo ndizo sifa Watanzania wanazotaka kwa rais ajaye!, na tutamchagua kwa kishindo kuliko kile cha JK 2005 kwa sababu wapiga kura wengi zaidi ni wale wasomi zaidi, na wasomi wengi zaidi ni watu wa dini fulani zaidi, hivyo zitaongezeka japo kidogo, haswa kutegeeana na waraka wa wakati huo pia!

Kwani hii hoja yako ni moja ya mazuri ya JK? Yes JK ni mtu mvumilivu sana. Ameweza kuvumilia watu kujieleza wanavyotaka, watu kuwa mafisadi wanavyotaka etc....na kikubwa ni uwezo wake wa kuwa rafiki na pande zote bila kuchagua upande wa kuegemea.
 
Naona hujasafiri nje ya nchi ndugu yangu. Nenda London kaulize nani pale alikuwa anamliwaza. Nenda Marekani kaulize ni akina nani waliolipiwa nauli kwenda kuweka joto kwenye viota vya mahaba. Don't even go there.

Some of the things that people were so busy doing when travelling will come to revelation when the time is due...probably after somebody has come and the new team formulated and the new scandals come out...just trying to think aloud.
Anyway, travelling abroad ni moja ya mafanikio makubwa ya utawala wa awamu hii...hakuna ubishi.
 
Zuri lingine ni kulinda marafiki wake pale anapohisi kuwa wanafanya madudu..hii ni moja ya sifa nzuri ya mkuu wa kaya,ana uwezo mkubwa wa kukulinda rafiki yake hata kama unafanya madudu.Namkubali kwa hili.
 
Nimekusoma Pasco but i am worried unaposema some of us change for the better, and some change for worse... (knowing if you are better or worse, could be a long term process, requiring external observation as well as a few notable milestones between the timelines) it is difficult to say if you are heading in the right direction without external views, IMO

But good luck in your endeavor but take it from me; something ahs changed and not to the good for you.... you have lost that neutrality and i even now see how opportunistic your are by tring to use JF views kwenye vipindi vyako unavyotaka ku-air. It is really bad when you think you are smart and can play with people philosophy thinking that it can always go your way

If you want to succeed, dont be a puppet! but if you want a joyride, then you can be one... My daughter has a toy, it closes its eyes when put asleep and opens the eyes whenever kept in upright position; and she loves it!!!

I AM SORRY BUT I AM WORRIED NA HIYO JOYRIDE UNAYOTAKA KUENJOY KWA MIGONGO YA JF

Goodbye and Goodluck
Mkuu MTM, thanks for being bold to call a spade a spade!.

If you were doing something before and you left it for something else which is more paying than what you were getting, yuo simply justfy the move!.

After a period of time you realise you were a better man before than what you are now, you decide to abandon what you do now and get set to do what you used to be, and plans ahead to do it in a better way!. In a planning stage you just say, channging for the better!.

The issue of neutrality is a bone of contentions. You are in a jungle struggling for existance, and survival is only for the fittest!. In order to survive one might find himself doing the things he should never have done if that is the one and only way to survive!. I'm survivor!.

Most preachers who claim to be men if God, are taking a joy ride by playing with peoples mind!. I'll also has to take a joy ride somewhere somehow but I will not play your mind away!. The use of jf mind was not a means but only a way!. As long as I have a means, I can always find my way out not necesarly through jf!. Hivyo don't worry kuwa ninataka kupanda juu kupitia mgongo wa jf!. The plan was to just to scratch my back and I'll scratch yours!. Mission abandoned!. Najipanga upya nitoke kivingine without jf!.

Hoja ya a puppet or not, the end will justfy the means!.

Thanks again Mkuu MTM,
Back to mazuri ya JK!
 
Hakuna mtu aliyeandika sentensi fupi na ikajumuisha yote kama wewe! UZURI WA JK NI WEAKNESS ZAKE UMEWEZESHA MAZURI!
Mtazamo, kitendo cha turning weakness into streghth ni uwezo mkubwa, hivyo JK ana uwezo mkubwa transformation. Nilimsikiliza sana pale alipozungukia mawizara, he had a good vision na good plans ila watendaji wake ndio wamemlet down!. He is so kind, he can't just fire anybody!. Hata akikutana na Mama Nyoni, atamwambia sorry ni Pinda ila tulia kidogo watu wasahau nitakupeleka ubalozini nchi moja nzuri, ukatulie!, nikishakupeleka pia nitakua naitembelea nchi hiyo mara kwa mara!.
 
Mkuu MTM, thanks for being bold to call a spade a spade!.

If you were doing something before and you left it for something else which is more paying than what you were getting, yuo simply justfy the move!.

After a period of time you realise you were a better man before than what you are now, you decide to abandon what you do now and get set to do what you used to be, and plans ahead to do it in a better way!. In a planning stage you just say, channging for the better!.

The issue of neutrality is a bone of contentions. You are in a jungle struggling for existance, and survival is only for the fittest!. In order to survive one might find himself doing the things he should never have done if that is the one and only way to survive!. I'm survivor!.

Most preachers who claim to be men if God, are taking a joy ride by playing with peoples mind!. I'll also has to take a joy ride somewhere somehow but I will not play your mind away!. The use of jf mind was not a means but only a way!. As long as I have a means, I can always find my way out not necesarly through jf!. Hivyo don't worry kuwa ninataka kupanda juu kupitia mgongo wa jf!. The plan was to just to scratch my back and I'll scratch yours!. Mission abandoned!. Najipanga upya nitoke kivingine without jf!.

Hoja ya a puppet or not, the end will justfy the means!.

Thanks again Mkuu MTM,
Back to mazuri ya JK!
Thanks Pasco... I hear you bro!! but don't say that you weren't warned [gone are the days where one cohort would enjoy the ride for 15 years, it has come down to a 4-5 year cycle; so get ready for like 5 more change of position along the way]
warning.jpg
 
Ni rais mwenye huruma na upendo sana...j.k ana kipaji cha kupendwa na watu,Leo mchukie mseme vibaya lkn akija ktk eneo lako utashangaa watu watakavyokanyagana ili wamsalimie.
nilishuhudia haya ktk msikiti wa kichangani alikuja kuswali(haiusiani na dini ni mfano tu)basi alipotoka akashangaa watu wanavyokanyagana wampe mkono mpk akatoa machozi mana hakutegemea na hata protocal team haikujiandaa na ulinzi mkubwa.Huyo ndo J.k mwenye good looking & good sense of humour.
Mabewa, kusema ukweli kwenye hili, lazima tumpe 100% chini ya 100%!. last month alikuja Morogoro kuzindua jengo jipya la CAG, alipomaliza watu wakamzonga, ali hang out for few minutes na ordinary people lilikuwa kama zogo fulani!. Nadhani anawapa shida sana watu wa protocal na walinzi wake, kazi wanayo!.
Mungu ambariki sana na tumuombee aitumie hiyo charm katika miaka hii mitatu iliyobakia kuleta maisha bora ya kweli kwa kila Mtanzania!.
 
yaani wewe hueleweki unarahisha mambo sana..

Nini ambacho hujakielewa?

Mashule yanayokosa madawati utakuta yote yapo vijijini na utakuta vijiji hivyo hivyo vinakata miti na kuuza mbao na kuuza kuni badala ya kujitengenezea madawati ya shule zao, wanangoja handouts na au kufanyiwa.

Kikwete kajenga mashule kwa kuwahamasisha hao hao kwenye kata zao na sasa ilikuwa wakati muafaka hao kwenye kata kuweka mikakati ya kujisaidia kuziendesha kwa ufanisi, kama kukusanyika na kujitengenezea madawati japo mawili au matatu kila wiki. Leo baada ya miaka 6 kungekuwa hakuna shida a madawati. Inabidi watanzania wajuwe kujituma wasingoje kutumikiwa tu.
 
Kamanda kwa hili una point kubwa sana!!!

You have made my day... as Pasco say, you have called a SPADE, a SPADE and not a big spoon whatsoever

YEs JK ana matatizo yake, lakini tusihamishe magoli sasa kwenye kila kitu, mwisho tutamuomba aje achimbe vyoo vya shimo huko bwisya na manyamanyama!!
 
This is exactly what is happening now, tunasikia shule hazina mashimo ya vyoo na hao wanakijiji na mabwana afya wa wilaya wanaruhusu watoto wanakwenda shule bila vyoo. Wakati hao hao watu wana pesa za kuzuia vipindupindu, wanazipeleka wapi? utawakuta wanakwenda kwenye restaurants na kukusanya rushwa badala ya kwenda kuweka mikakati watoto wakapata vyoo.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Kikwete kawawekea mashule, basi hata mashimo ya vyoo mnashindwa? hata madawati? hata nyumba za walimu? mpaka aje Kikwete kuwahamasisha?

Wabunge kazi yao kutafuta waandishi wa habari na kwenda nao kutoa handouts ili waonekane wanafanya la maana. Sijaona hata mmoja akiwakusanya wananchi na kuwa nao bega kwa bega katika mikakati ya kujitengenezea mashimo ya vyoo wala madawati wala nyumba za walimu, utasikia kapeleka bati alizopewa na barick jimboni kwake. What a way.

Hakuna hata mbunge mmoja anaekuja na mkakati wa kusema ntazifanya shule zangu ziwe mfano wa kuigwa kwa kuwafanya wanachi wa jimbo langu waziendeshe kwa ufanisi mkubwa kabisa.
 
Kikwete kafanya mazuri mengi sana.

Ningependa na ningefurahi Kikwete angechaguwa mikoa miwili tu iliyokuwa mwisho kimaendeleo akamleta mzungu mmoja kila mkoa kuwa RC na kila wilaya za huo mkoa Mzungu mmoja kuwa DC na mmoja kuwa DD. na mmoja kuwa DFD, Halafu uone mabadiliko katika hiyo mikoa miwili. Wizi ungekwisha, rushwa ingekwisha na mikoa ingekuwa inatamanika kwa miaka 3 tu na kwa hiyo miaka mitatu hiyo mikoa itaondoka kuwa ya mwisho na kuwa ya kwanza kwa maendeleo.

Mzungu = wa Mungu

Afrika (derived from Afri t) = wa shetani.
 
Binafsi namkubali JK katika mambo yafuatayo: 1,Amejitahidi sana katika swala zima la demokrasia na uhuru wa kuongea kwa ujumla wake(mvumilivu wa kisiasa) 2,Ana nguvu kubwa sana ushawishi, tumeshuhudia akiamua anatumia vizuri sana hii rejea mgogoro wa Kenya, muungano, katiba mpya na wapinzani nk. 3.Kulingana na barabara alizozikuta amejitahidi sana kuongeza bara bara za kiwango cha lami na changarawe. 4.Kulinganisha na sekondari alizozikuta ameongeza sekondari kwa kiwango cha kuridhisha. 5.Amefanya vizuri katika ku maintain amani na utulivu wakati nchi ikiwa kwenye kipindi kigumu cha uchumi kwa wananchi. 6.Kafanikisha ujenzi wa UDOM kwa funds za ndani 7.Amefanya vizuri katika swala zima la uwezeshaji wa upatikanaji wa elimu ya juu 8.Mpenda michezo na amesapoti sana michezo hasa kandanda na kuinua hari ya kuipenda taifa stars kwa kuwawezesha makocha wataalamu. 9.He is good looking aka celebrity 10.Anaongoza chama kwa fuanisi mkubwa katika kipindi ambacho chama kipo kwenye wakati mgumu wa uwazi na uhuru na mpasuko mkubwa 11......................................................loading more to came
 
Kikwete kafanya mazuri mengi sana. Ningependa na ningefurahi Kikwete angechaguwa mikoa miwili tu iliyokuwa mwisho kimaendeleo akamleta mzungu mmoja kila mkoa kuwa RC na kila wilaya za huo mkoa Mzungu mmoja kuwa DC na mmoja kuwa DD. na mmoja kuwa DFD, Halafu uone mabadiliko katika hiyo mikoa miwili. Wizi ungekwisha, rushwa ingekwisha na mikoa ingekuwa inatamanika kwa miaka 3 tu na kwa hiyo miaka mitatu hiyo mikoa itaondoka kuwa ya mwisho na kuwa ya kwanza kwa maendeleo. Mzungu = wa Mungu Afrika (derived from Afri t) = wa shetani.
Zomba nalazimika kukujibu haliyakuwa tupo nje ya topic. kumbe tatizo sio JK tatizo ni sisi kuwa Waafrika, maana hata ukimuweka Slaa bado sio mzungu, is that wahat you means? jitambue mkuu
 
Unless if you call laughing when talking of disasters is humour. Why are you wasting your time on someone who does not help you in any way? Some people mister.............!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom