Minpajero

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Nampango wa kununua kagari ka kufanya mizunguko hapa mjini dar.na kwenda kanisani.nime preffer minpajero ka cc660 au nissan march.je naweza kwenda safari za mbali kama km 800,na uimara wake pls.
 
Nissan March ni nzuri kwa mizunguko ya mjini but zina matatizo kama fedha yako ni ya kubaddilishia mboga. Spea zake ni bei mbaya kama ilivvyo kwa Mitsubish. Me nina Pajero IO (GDI) ni nzuri na imara tatizo ni spea zake bei ni mbaya na hata mafundi wa uchochoroni wanaziogopa ni lazima uwe na fundi anayezifahamu si kila mtu. Be CARE
 
Back
Top Bottom