Minister belittles link with JK's son

......immma Wanasema Wao Huwa Wanaajiri Best Students Tuu...ningependa Kujua Vigezo Vya Kuwa Best Ni Vipi...je Havihusishi Matokeo Ya Darasani????....

Rizwani Alikuwa Na Simple Pass....haiwezekani Kuajiriwa Kwake Ni Kama Imma Wamekuwa Opportunist???..ikizingatiwa Mmoja Wa Partners Coicidence Imekuwa Kawa Jaji ...mwingine Waziri...na Still Pesa Ya Epa Ikapita Hapo...kupitia Deepgreen ..iliyodhaminiwa Na Immma..na Isitoshe Kampuni Imekufa Mara Baada Ya Uchaguzi.....

Kwa Maoni Yangu Ni Vigumu Muhashimiwa Rais Kujitenganisha Na Hii Kashfa.....ni Lazima ....hatua Zifuatazo Zichukuliwe Haraka ...

1]rizwani Ajiondoe Haraka Kama Mmoja Wa Waajiriwa Wa Immma...

2]jaji Ambaye Ameteuliwa Kutoka Immma Afikirie Upya Uteuzi Wake Kama Hauingilii Hautaadhiri Haki ...na Afikirie Kujivua Ujaji...[mkumbuke Anaweza Kuwa Jaji Mkuu Siku Moja Au Ikabidi Aamue Kesi Ya Ufisadi Itakuwaje..kuwepo Kwake High Court Kunaweza Kufanya Haki Isitendeke..ikizingatiwa Sasa Mafisadi Wanasakwa]

3]muhashimiwa Waziri Masha ..namkubali Kaama Kizazi Kipya Lakini Naona Naye Afikirie Upya Kama Kuwepo Kwake Pale Mambo Ya Ndani Hakutaadhiri Vita Dhidi Ya Mafisadi ..na Ikizingatia Moja Ya Kampuni Deep Green Ilidhaminiwa Na Immma Ambayo Yeye Ni Domant Director....rais Angeweza Kumpangia Kazi Nyingine...iwapo Itaonekana ....inafaa..

Yote Haya Yanafanyika Au Yafanyike Ili Kuokoa Jahazi La Urais[presidency]....kumbukeni Hata Kama Rais Ana Kosa ..hawezi Kushtakiwa Anayo Kinga....kuna Kikomo...cha Kumtuhumu Tu!!!

PM,

Kama nilivyoandika kule kwingine, maneno ya Masha ni kama hapa chini:

"Akifafanua jambo hilo,Bw. Masha alisema wakati akiwa Mkurugenzi wa Kampuni ya DGF inayousishwa na ufisadi huo, walikuwa na utaratibu wa kuchukua wanafunzi wa mazoezi katika fani ya sheria kila mwaka.

"Wanafunzi walioonekana wanafanya vizuri katika mazoezi kampuni ilikuwa ikiwaajiri watano kila mwaka, ambapo Bw. Ridhiwani ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri na kuajiriwa na kampuni hiyo,"alisema Bw. Masha."

"We receive interns every year as a reputable law firm�the important thing to us is a student's ability to work and deliver not prominence or personality,� he told a packed news conference yesterday.

He was explaining how the president's son got employment at IMMA, saying that the law firm has a tradition of accepting law student interns and Ridhwani Kikwete was among those interns for that year.

�After the internship period we normally evaluate the interns and those we find had performed quite highly, we give them employment. And that�s what happened with Ridhwani,� he stated. "

Anaongelea mazoezi na sio uwezo wa darasani pale UDSM. Hata lile tamko la IMMMA, hawajaongelea uwezo wa Ridhiwani darasani. Wasomi hao, walikaa chini kabla ya kuongea na kutafuta lugha ya kisheria kuhalalisha jambo.

Kuna kila dalili ya ufisadi kwenye hili suala, bahati mbaya kwa TZ wananchi tunafungwa magoli mengi kutokana na usanii wa viongozi wetu.
 
PM,

Kama nilivyoandika kule kwingine, maneno ya Masha ni kama hapa chini:

"Akifafanua jambo hilo,Bw. Masha alisema wakati akiwa Mkurugenzi wa Kampuni ya DGF inayousishwa na ufisadi huo, walikuwa na utaratibu wa kuchukua wanafunzi wa mazoezi katika fani ya sheria kila mwaka.

"Wanafunzi walioonekana wanafanya vizuri katika mazoezi kampuni ilikuwa ikiwaajiri watano kila mwaka, ambapo Bw. Ridhiwani ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri na kuajiriwa na kampuni hiyo,"alisema Bw. Masha."

Anaongelea mazoezi na sio uwezo wa darasani pale UDSM. Hata lile tamko la IMMMA, hawajaongelea uwezo wa Ridhiwani darasani. Wasomi hao, walikaa chini kabla ya kuongea na kutafuta lugha ya kisheria kuhalalisha jambo.

Kuna kila dalili ya ufisadi kwenye hili suala, bahati mbaya kwa TZ wananchi tunafungwa magoli mengi kutokana na usanii wa viongozi wetu.

Bado kuna mkanganyo na siri kubwa na ukweli upo hapa sana kuhusiana na Ufisadi .
 
Yaani I am glad most of you, especially mnaojiita Senior members and stuff leo mnaona how this forum behaves. Kuna issues nyingi mmeziandika na kuziponda as if the truth is with you and can verify that even in court, mkawasema watu vibaya kama all facts zipo.

Hata mtu akijaribu kutetea kuwa as far as i know this is like this, hamtaki... tena mnaweza kuanza hata kutoleana maneno machafu. Sasa leo Field Mashall unadhani u know the facts na watu wanapinga kwa nini unawelazimisha watoke ktk mjadala? hii si ndio forum yenu bwana, mnayadaka juu kwa juu na kuua wenzenu?

I know Masha, very well, I also am very familiar with other people discussed in this forum negatively....I wont argue abt him here just like the way i kept my mouth shut when others where trashed... Why? because I know the truth will always come out.
Midomo mmepewa bure, hamlipii kodi ila JF mnachafua watu sana majina yao bila ya kuwa na facts and that decreases your credibility
 
Mimi nasubiria Masha na IMMMA waende mahakamani ili mzimu wa Deep Green na Tangold uje hadharani. Kuna kila jitihada za kuficha kile kilichofanywa na Deep Green na Tangold. Na kama kuna watu bado hawaoni kuwa haya makampuni mawili ni ya kifisadi na yametumika kuchota mabilioni ya pesa za watanzania, basi inawezekana kabisa kuwa Lowasa yuko right kudai kuwa yeye ni safi ila kuna watu wengine wasiojulikana ndio wamehusika na hiyo richmonduli.

Kama kweli IMMMA ni wasafi katika hili (na ninajaribu kuamini kuwa Masha sio fisadi kama FMES anavyodai), basi kwa nini wasiruhusu tume huru ya bunge kama ile ya Mwakyembe kuchunguza kashfa ya Deep Green na Tangold? Ifahamike kuwa hata richmond nayo ilikuwa ni maneno ya watu kabla haijaundiwa tume. Masha kama wewe ni msafi basi ruhusu uchunguzi huru wa Deep Green na Tangold huku pia ikichunguzwa kuwa IMMMA walihusika vipi na kwa kiasi gani katika hii skandali.

Thanks!
 
I know Masha, very well, I also am very familiar with other people discussed in this forum negatively....I wont argue abt him here just like the way i kept my mouth shut when others where trashed... Why? because I know the truth will always come out.

Usijal title 'tunazojiita', hapa ni sehemu ya kubadilishana mawazo. Nadhani watu walikandia digrii ya Ridhwani, lakini [U}Mtanzania /U]kaonyesha IMMMA huajili kutokana na performance yako kama intern kwa vigezo vyao kama Bw. Masha alvyoainisha!!!.
Matatizo niyaonayo hapa ni jinsi IMMMA wanavyojaribu kukataa kwao kuhusika na DGF zaidi ya kutoa huduma za kisheria kulingana na sheria za nchi, wakati huo huo Masha anasema alipokuwa mkurugenzi DGF na sio IMMMA. Je IMMMA na GDF ni twin (identical) companies kiasi cha kutotofautishwa? Jinsi ambavyo wakijaribu kujiweka mbali na DGF, ndivyo ukaribu wao unavyozidi kudhihirika. Kwanza share moja moja na sasa mmoja wao alikuwa mkurugenzi.
"Akifafanua jambo hilo,Bw. Masha alisema wakati akiwa Mkurugenzi wa Kampuni ya DGF inayousishwa na ufisadi huo, walikuwa na utaratibu wa kuchukua wanafunzi wa mazoezi katika fani ya sheria kila mwaka.
Je haya maneno waandishi wamemzushia?
 
....

Matatizo niyaonayo hapa ni jinsi IMMMA wanavyojaribu kukataa kwao kuhusika na DGF zaidi ya kutoa huduma za kisheria kulingana na sheria za nchi, wakati huo huo Masha anasema alipokuwa mkurugenzi DGF na sio IMMMA. Je IMMMA na GDF ni twin (identical) companies kiasi cha kutotofautishwa? Jinsi ambavyo wakijaribu kujiweka mbali na DGF, ndivyo ukaribu wao unavyozidi kudhihirika. Kwanza share moja moja na sasa mmoja wao alikuwa mkurugenzi.

Je haya maneno waandishi wamemzushia?

Msavila,

wataweka visingizio sana kuwa hii issue ni ya usalama wa taifa na watatishia kushitaki magazeti lakini hii issue ya Green Deep na ndugu yake Tangold haitakufa hivi hivi mpaka kieleweke kuwa Masha na IMMMA walihusika kwa capacity gani katika hili na pia Ridhwani Kikwete anajua nini kuhusika kwa IMMA katika hili.

Kumteua Masha kuwa waziri na Mujilizi kuwa jaji haitafuta ushahidi kwani hata kama ni miaka kumi toka leo hii kesi itakuja tu kuwekwa hadharani mpaka waliohusika wote na watoto wao waadhibiiwe.
 
Mimi nasubiria Masha na IMMMA waende mahakamani ili mzimu wa Deep Green na Tangold uje hadharani. Kuna kila jitihada za kuficha kile kilichofanywa na Deep Green na Tangold. Na kama kuna watu bado hawaoni kuwa haya makampuni mawili ni ya kifisadi na yametumika kuchota mabilioni ya pesa za watanzania, basi inawezekana kabisa kuwa Lowasa yuko right kudai kuwa yeye ni safi ila kuna watu wengine wasiojulikana ndio wamehusika na hiyo richmonduli.

Kama kweli IMMMA ni wasafi katika hili (na ninajaribu kuamini kuwa Masha sio fisadi kama FMES anavyodai), basi kwa nini wasiruhusu tume huru ya bunge kama ile ya Mwakyembe kuchunguza kashfa ya Deep Green na Tangold? Ifahamike kuwa hata richmond nayo ilikuwa ni maneno ya watu kabla haijaundiwa tume. Masha kama wewe ni msafi basi ruhusu uchunguzi huru wa Deep Green na Tangold huku pia ikichunguzwa kuwa IMMMA walihusika vipi na kwa kiasi gani katika hii skandali.

Thanks!

Mwafrika wa Kike,

Masha aende mahakamani wakammalize? Swali la kwanza, hivi wewe ni Mtanzania?

Akishasema ndio ndipo maswali kibao mengine yanakuja, likiwemo ile sheria ya JKT. Akijikanyaga hapo tayari wenzake wanamwambia kama ulidanganya kweli suala la JKT, utashindwa nini kudanganya kwenye hili la IMMA?

Fisadi yeyote hawezi kwenda mahakamani, na kwa mtazamo wangu, kwenye hii ya
Deep Green, mkono wa Masha umejaa kila sehemu.

Ataishia tu kutishia kwenye magazeti lakini hawezi kwenda mahakani.
 
Mtanzania,

haya yote yanajulikana na nadhani umeanza kuona jinsi gazeti la mwanahalisi linavyoandamwa sasa hivi ili kumaliza hii story. Kwa hili Masha anacheza na moto na so far alikosea the first move na kuanza kutetea kampuni binafsi wakati yeye akiwa waziri katika serikali ya sasa!

Mimi ninamuomba Masha aende mahakamani na kulishtaki gazeti la mwanahalisi...... tik tak tik tak tik tak.........
 
In all fairness labda hapo Masha aliponukuliwa kusema alikuwa mkurugenzi wa DGF si ajabu ilikuwa ni kuteleza tu (kwa mwandishi au waziri mwenyewe) lakini walimaanisha IMMA maana context ya sentensi hiyo inaashiria hivyo. Na isitoshe waliotajwa kuwa wakurugenzi wa DGF katika ile ripoti iliyomo humu JF ni Ishengoma na Ndikimi na ndio waliopewa hisa huko.

Hata hivyo haina maana kwamba Masha hana la kujibu, anayo tena kalikoroga mwenyewe kwa kumtetea Ridhiwani mbele ya media sasa inabidi alinywe.
 
Tatizo mawaziri wa Kikwete wanaongea bila kukaa chini na kufanya consultation ya nini cha kusema. Masha anajua kuwa amechafuka katika hii issue na so far anavyojaribu kujitetea ndo anaharibu kila kitu!

kazi kweli kweli
 
2]jaji Ambaye Ameteuliwa Kutoka Immma Afikirie Upya Uteuzi Wake Kama Hauingilii Hautaadhiri Haki ...na Afikirie Kujivua Ujaji...[mkumbuke Anaweza Kuwa Jaji Mkuu Siku Moja Au Ikabidi Aamue Kesi Ya Ufisadi Itakuwaje..kuwepo Kwake High Court Kunaweza Kufanya Haki Isitendeke..ikizingatiwa Sasa Mafisadi Wanasakwa]

![/b]

Mkuu PM

Hili suala la kuletewa Kesi ya mafisadi wakati wewe pia una harufu ya Ufisadi limenigusa sana bado natafakari mambo haya mawili EPA na RIchmond ambayo mwisho wa siku yatakwenda mahakamani je akipangiwa atatoa haki kweli kwa watanzania?.

Ile falsafa ya kibanzi kweli itamuacha?

Au tunataka hata mahakamani watu waanze kurushiana makonde?
 
Kwa kusema kweli habari hii inanipa utata sana kwa sababu nina vigezo vyote vya kuwa na wasiwasi
soma habari hii http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=5915

Huyu jamaa ni mwongo mkubwa kabisa, Mawaziri gani hawa unaweka Kikweete???????

moja Masha kalidanganya Taifa kuwa kila mwaka wanaajiri wanafunzi watano wanaofanya vizuri hapo kwenye hiyo firm yao, huo ni uongo kabisa, mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyekwenda hapo na Ridiwani, mbona mlimchukuwa Ridhiwani peke yake????

Pili Kikwete kaanza kuonyesha dalili za kugombea Uraisi siku nyingi tu, toka zamani sio miaka ya 2005, na watu wengi walijua hilo pamoja na wewe kuwa atakuwa Raisi, sasa iweje kuwa eti Ridhiwani aliajiriwa kabla hata ya baba yake kuonyesha dallili za kuwa President???

Tatu, sina uhakika sana unaposema kampuni yenu mnaajili watu wanaofanya vizuri wakija hapo? una uhakika na maneno yako hayo kuwa kwenye watu tuliokuja na Ridhiwani?? Ridhiwani alionekana kufanya vizuri??, na mbona waajiliwa wengi hapo ni watoto wa vigogo wa serikali au matajiri fulani? unataka kutueleza kuwa watoto wa vigogo na matajiri ndo wenye uwezo wa kiakili au??

Mbona unajiuma kwa maneno yako, unasema mtalichukulia gazeti lililotoa habari hizo hatua madhubuti, pili unasema huusiki kwa sababu kuna viongozi wanaohusika, kwa hiyo unasema hivyo ili kuonyesha kuwa unalipa fadhila za kumkingia kifua huyo Ridhiwani baada ya kupewa shavu na Fisadi

Na cha mwisho na cha kusikitisha, nyie na mapolisi wenu mmekuwa miwakamata watu na kuwatesa ebu ni wahusika wa Magaidi?? Hivi wewe Masha ujiulizi, ni kwanini kila mnayemkama mnamuachia bila kumkuta na tuuma, nyie mtakuwa ni wazembe wa kufikilia na kufanya uchunguzi mnaishia kukurupuka tu

Mwisho, usijisifie sana wewe, umeongoza kampuni toka 1991, kwa ufisadi na mmekuwa wezi mkishirikiana na Kikwete kuujumu uchumi na kupeana nafasi kwa kujuana, hivyo sio kwamba wewe unachapa kazi, lo, jamaa analipa fadhila

wewe ukiwa mchapa kazi, na akina invisible, mwanakijiji, mwafrika wa kike, BabaH, tuwaiteje??

Ziko taarifa ambazo hazijathibitika rasmi kuwa dogo ana akaunti isiyopungua milioni 200 na anaplani kujenga nyumba ya mil 70 yeye anadai ni michongo yake hajapata kupitia kwa dingi wala nini wana JF wekeni pending hiyo.
 
siku za karibuni famila ya jk imekuwa na kimbelembele sana, wana-protocol wa ikulu wanalalamika kisirisiri kuchoshwa na ratiba za mama jk, yeye anadhani ni waziri,kila kukicha anatakakuzuru hiki na kile,hata pale asipostahili, huyu mtoto naye yumo kila mahali, mara eti ankampeni kuweka watu wake uv-ccm, sasa inakuja ya mwaka ana 200m kazipata mwenyewe, yetu machooooooo, kuna siku inakuja...tuisubiri
 
Mama Jk being the first lady has social responsibilities to perform,just like we see Mama Bush doing.

The son Ridhwan also happens to be a member of uvccm and by campaining to whoever he likes to be elected is a personal matter.

Sasa kumfanyia inda kwa sababu tu humpendi JK, mke wake na mtoto wake ni chuki binafsi.Subiri 2010 umwangushe kwenye voting.

Kwa sasa mwache JK adunde na ukitaka kumpeleka Chalinze fanya kila njia ili usikose kupiga kura yako mara uchaguzi utakapowadia.
 
Ufisadi wa Masha! What happened????

Those days watu walikuwa wanamkoma nyani Giladi aiseee!

JF ya miaka hiyo!
 
Mama Jk being the first lady has social responsibilities to perform,just like we see Mama Bush doing.

The son Ridhwan also happens to be a member of uvccm and by campaining to whoever he likes to be elected is a personal matter...
It looks like mama Janet is, deliberately, left behind.
 
Back
Top Bottom