Miniskirt zazua utata huko Chile!.

Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,164
61,249
SANTIAGO, Chile - A ban on miniskirts didn't last long in Chile, where a governor faced protests by women who otherwise share his conservative views.

Coquimbo region Gov. Sergio Gahona had banned public employees from wearing miniskirts or exposing their shoulders. He says he was merely trying to "put things in order" and didn't mean to restrict anyone.
But Chile's women's affairs minister, Carolina Schmidt, calls his ban a joke.

Sen. Evelyn Matthei says she'll keep wearing miniskirts to show off her "nice legs," and would personally protest if the ban remains in effect.

The governor's aide Ivan Espinosa says parts of the order dealing with personal presentation were excessive and would be corrected

s-MINISKIRT-large.jpg
 
sasa mbona anaivuta hiyo mini yake juu? si haiache kama anaona inafaa
 
Kuivuta huko bosheni tu kwani hakuiona kuwa ni fupi akiwa bado yu nymbn kwake? Huku ni kutiana majaribuni tu.:confused2:
 
kuivuta huko bosheni tu kwani hakuiona kuwa ni fupi akiwa bado yu nymbn kwake? Huku ni kutiana majaribuni tu.:confused2:

Eheheee huyo dada anaongea lugha ya Ibirisi na inaashiria kuwa hizi ni enzi za shetani kuitawala ulimwengu.
 
avae hivyo halafu apande daladala lazima nisimame nyuma yake hata kama kuna siti najifanya nashukia karibu.
 
SANTIAGO, Chile - A ban on miniskirts didn't last long in Chile, where a governor faced protests by women who otherwise share his conservative views.

Coquimbo region Gov. Sergio Gahona had banned public employees from wearing miniskirts or exposing their shoulders. He says he was merely trying to "put things in order" and didn't mean to restrict anyone.
But Chile's women's affairs minister, Carolina Schmidt, calls his ban a joke.

Sen. Evelyn Matthei says she'll keep wearing miniskirts to show off her "nice legs," and would personally protest if the ban remains in effect.

The governor's aide Ivan Espinosa says parts of the order dealing with personal presentation were excessive and would be corrected

s-MINISKIRT-large.jpg
Hi hii ni minisketi au minigauni..........??
 
Duh hii sio minskirt labda kama ni costume ya kwenda kuogea sawa, this is way too much bongo wanakumaliza
 
......Mhhhhh!! Navaa sana nguo fupi ila hii imezidi kuwa fupi.......hadi mstari wa ta.ko linapoanzia unaonekana khaaaaa!!Halafu kuna baadhi ya wanawake ana chicken legs lakini bado yupo tu na nguo fupi.
 
Sipendi kuvaa nguo na kutokuwa comfortable mara kuivuta vuta au kuishusha agrr!!..napenda mini skirt mana nina miguu mizuri ila ya huyo dada imezidi,lol na hizo tatuuzz...
 
aaaah chichemi kitu huu mwezi Ntukufu...............:smile-big:
 
Yani hapo unamwona kabisa hana amani na alichokivaa, kwanini lakini wadada? vaa nguo utakayokuwa comfortable nayo
 
Back
Top Bottom