Minilaptop 150 GB

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Minilaptop.jpg

Minilaptop with Intel Atom 1600 Mhz, Win XP. memory 1 GB, 150 HD. LAN, wifi, USB 2.0, web camera, card slot for sd/ms/mmc/MS-Pro, 3d Audio, built in stereo speakers and mic.

In the foregoround is 3G modem: WCDMA/UMTS/HSPDA 850/1900/2100 MHZ
GSM/GPRS/EDGE 850/900/1800/1900 MHZ.
 
.... Ina shida gani??????
 
.... Ina shida gani??????
Haina shida. Nimeipata leo hii na ni notebook nzuri. Kulishakuwa na mjadala hapa kuhusu hizi notebooks, lakini naziona ni nzuri esp kama uko mobile hasa kwa kutumia internet.
 
Ni Bei gani au umeletewa,Zinapatikana wapi?...tupe some more details mkuu...share some men.
 
Sawa kabisa Mkuu. Nimeletewa kutoka China, na so far nimekuwa impressed na perfomance yake ndio maana nikaiweka hapa ili nipate comments mbalimbali kutoka jamvini. Hata hivyo naendelea kuifanyia utafiti niweze kuona durabilty yake. Nitawaeleza baada ya muda kupita kama kutakuwa na issues zitakazojitokeza. Hiyo modem niliitumia na inafanya kazi vizuri.
 
Nimeuziwa moja ya aina ya HP toka China. Nimeuziwa dukani brand new kwa 800,000/= na guarantee ya miezi 12.Nimetumia kwa miezi 6 tuu, biashara imekwisha!. Tatizo kubwa nambo moja, haiwezi heavy duty, ukiweka power supply muda mrefu kinapata moto sana mpaka kama kinachemka.One day scree just turned into red, then kikazima biashara ndipo ilipoishia.Nimerudi dukani niliponunua na guarantee yangu, jamaa kaipokea, kaniambia nisubiri miezi 3 atakaporejea tena toka China na majibu ya kueleweka.Kwenye mini laptop jamani ni sony tuu, zingine usumbufu kibao. Najuta kukimbilia bure ghali!. Ziko kama vitoy fulani hivi!.
 
Ningependa kujua ulikuwa unaiweka kwenye power supply kwa muda gani? Ulikuwa unafanyia nayo kazi gani, maana sikukuelewa ukisema haiwezi kufanya kazi heavy duty. Una maana kuwa haiwezi kufanya kazi muda mrefu? Kwa mawazo yangu hizi minilaptops zinakuwa ku supplement desktops au laptops kubwa. Hizi hutumika pale ukiwa mobile, ku susurf internet, kusoma na kutuma e mails etc etc.
 
Ni kweli ni nzuri, hata mimi ninaitumia nilinunua pale University Computing centre 500,000/=. Wanaziuza pale
 
Back
Top Bottom