'Mini- budget' likely

Sikatai suala la kuwa na contingency, lakini ukumbuke kwamba mashirika ya dini yalipewa misamaha baada ya bajeti kuandikwa, na kukawa na uwezekano finyu wa kurekebisha bajeti hiyo. Mapato ambayo yalikadiriwa kutoka katika misamaha ya mashirika ya dini ni sehemu ya hiyo nakisi! It's not the matter of copying and pasting the previous budget.
Walipoingiza mapata ya kodi kutoka mashirika ya kidini, walikuwa wamefanya kazi kwa muda fulani hivi na ile figure waliyoiweka ilitokana na hiyo kazi. Sasa kwanini it took them less than 3 days kubadilisha kazi waliyopanga muda mrefu? Wao walikuwa wanafikiri nini?
Halafu wakati uchumi unayumba, serikali imefanya jitihada gani kupunguza matumizi yake? Mfano hapo Malawi, miezi michache iliyopita Rais alikataa kwenda kuhudhuria mkutano wa jumuiya ya madola kwasababu ya kukosena kwa fedha za kigeni. Sisi tumepunguza nini kwenye matumizi yetu? Vinginevyo, ni yale ninayoaamini kutoka kwa wanasiasa wa Tanzania! hawana lolote la maana la kutuonyesha isipokuwa suti zao za kung'aa na picha zinazopamba magazeti wakiwa kwenye semina na makongamano, na hadithi tele, za kujitetea ili kuyawezesha haya wanayoyafanya yawe kweli hata kama ni kinyume chake.
Mambo yenye kuhitaji akili na nia kuyatekeleza hayo hawana uwezo nayo.
 
Well!
Shida yetu kubwa kama nchi, ninayoiona katika bandiko lako ni kwamba hatuna VIPAUMBELE! Na hili ni tatizo kubwa. Hatujali sana kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom