Mind reading

Thanks GG.
Mawazo ya wahusika yote yana uhalisia kabisa.
Nimependa ya mtu na mkewe hao wa juu kwani ni kweli kabisa ukiwa na mamaa na akapita mrembo mkali zaidi basi wifey/gf ata-note mapema kabla yako...
Pia ya mama aliyewaza 'I used to look like this too' ni kali, anakumbukia enzi zake akiwa anadai...
 
asante kwa kuyaona hayo, ubongo unasema kimya kimya............
 
Back
Top Bottom