mitaani kuna minara mingi ya simu lakini sijawahi kuona ya kampuni kama zantel na mengine mapya kama sasatel.hivi hawa wanafanyaje kusambaza mawasiliano yao?
Nilipokua Tz niiacha kampuni ya simu inaitwa celtel na ilikua na minara yake na niliambiwa kwamba ndo inayoitwa zantel sikuhizi.....kama ndo kweli i think watakua wanatumia minara hiyo......then ninavyofahamu wanawezakushare minara na kampuni zingine au kutumia roaming service.....